Msanii wa muziki wa hip hop hapa nchini, uwenda akaachia ngoma mpya kabvla yam waka huu kuisha.
Hiyo inakuja baada ya Prof. Jay kuposti katika ukurasa wake wa Instargram...
Unaambiwa bwana Staa wa muziki Tanzania na Africa kwa ujumla Diamond Platnumz ameweka bayana kiasi cha kodi anacholipa kwa mwaka ambapo ni Tsh Bilioni 1.7.
Diamond...
Muigizaji na mchekeshaji maarufu hapa nchini, Idris Sultan ametangazwa rasmi kuhost katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA).
Tuzo zinatarajiwa kufanyika...
Na Tanzania Tech
Utaweza kupata bidhaa bora na zenye kufanana na picha ya bidhaa usika
Kwa sasa ni wazi kuwa watu wengi zaidi wamekuwa wakifanya manunuzi mtandaoni, lakini ni ...
Shirika lisilo la kiserikali, T-MARC Tanzania limesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita limefanikiwa kuuza na kusambaza kondomu Milioni 60 katika maeneo yote nch...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize ametangaza ujio wa tamasha lake ambali litafanyika Februari 14 mwakani.
Tamsha hilo ambal...
Unaambiwa moja ya story kubwa huko mitrandaoni ni hii ya msanioi wa muziki Drake kuliondoa jina lake katika tuzo za Grammy 2022.
Msanii huyo alikuwa akiwania katika vipengelr ...
Na Janeth Jovin
Je umekua ukisoma sana nyakati za karibia na mitihani na bado matokeo ni finyu ukiringanisha na wakati unaotumia, bila kusahau kukesha usiku kucha? Soma...
Hii imetokea huko nchini Marekani Mwanamke aliyeripotiwa kuvamia Nyumbani kwa Drake (Toronto) Mapema mwaka huu, sasa anamshutumu Rapa huyo na kutaka Dola Billion 4 (TSH....
Aiseee!! Hii ni baada ya kufanya mambo makubwa kwenye Muziki wa Bongo Fleva kwa mwaka huu 2021 ambapo umebakiza wiki kadhaaa kuuaga habari njema ni kwamba Huenda u...
Kila mtu ana tabia tofauti za ubinafsi. Tabia hizo ndizo ambazo mtu anavyofikira na kutenda kawaida, zinazomtofautisha yeye na wengine.
Tabia za mtu hugeuka na kuwa ubin...
Siku zote mwili wa binadamu ili uweze kuwa katika afya nzuri unahitaji virutubisho mbalimbali ambavyo vinapatikana katika vyakula tunavyokula kila siku.
Pale mwili unapokosa v...
Katika kuhakikisha kunakuwepo na ongezeko kubwa la watu wanaojiajiri, Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wameshauriwa kutumia ubunifu na maarifa waliyoyapata ku...