Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown ameweka wazi kuwa anaposahau mistari ya nyimbo zake akiwa stejini huwa anawaachia mashabiki waimbe.Brown ameyasema hayo kwenye moja ya ...
Nyumba maarufu iliyopo katika kitongoji cha Winnetka, Illinois Chicago ambayo ilitumika kuigizia filamu ya ‘Home Alone’ ya mwaka 1990 inauzwa.Nyumba hiyo ambayo im...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr kutoka Saudi Arabia Cristiano Ronaldo ameendeleza ubabe katika ligi kuu nchini humo baada ya kuweka rekodi mpya katika ‘mechi...
Tarehe kama ya leo mwaka 2013 alifariki mwanamuziki Albert Keneth 'Mangwea', aliyewika miaka ya 2000 kwa ngoma kama vile 'Ghetto Langu','Kimya Kimya''Nipe deal','Alikufa kwa n...
Mwonekano ni kati ya vitu vinavyoweza kumpa msanii utambulisho wake ingawa wapo baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza kama kuna ulazima wa msanii kuvaa nguo za ajabu, mabwanga, ...
Mwanamuziki kutoka Marekani Alicia Keys, akionesha chumba maalumu ambacho ametunza tuzo zake mbalimbali alizopata kutokana na kazi yake ya muziki.Keys alianza kujihusisha na k...
Baada ya kuzuka uvumi kupitia mitandao ya kijamii ikieleza kuwa watoto watatu wa mchezaji wa ‘timu’ ya taifa ya Nigeria, Kayode Olarenwaju kuwa siyo wake, aliyekuw...
Kampuni ya America's Best Contacts & Eyeglasses imeripotiwa kusitisha kuuza fremu za miwani zenye saini ya Diddy kutokana na kuhusishwa kwenye kesi kadhaa za unyanyasaji w...
Mwigizaji kutoka Marekani Johnny Wactor ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘General Hospital’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi katika moja ya mtaa wa ...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester City, Jack Grealish anusurika kuanguka kwenye basi la wazi la Manchester City walilokuwa wakilitumia katika paredi ya kushehereke...
Na Michael OneshaNiaje niaje watu wangu wa nguvu, leo ndani ya unicorner nimekusogezea mada ambayo inakuamsha wewe mwanafunzi wa chuo ambaye bado umeamua kukumbatia matatizo y...
I hope mko pouwa watu wangu wa nguvu, leo katika segment ya Kazi tumekusogezea kitu ambacho kitakusaidia wewe unayehangaika kila ifikapo asubuhi wakati wa kwenda kazini kwa ku...
Siku nyingine tena kwenye dondoo za mitindo na urembo. Leo tunaangalia mambo yakuzingatia wakati wa ubandikaji kucha. Ubunifu kwenye masuala ya urembo wa kucha umezidi kukua, ...