Mashabiki wa ‘soka’ wamedai kiungo wa #RealMadrid #LukaModric ametumia nguvu nyingi kuzuia kumwaga machozi baada ya Croatia kugomewa ushindi katika mchezo ambao ma...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Ashley Parrish, ‘Kehlani’, ameweka wazi kuwa alipata hasara kwa kupoteza fursa za mikataba baada ya kutoa msaada kwa watu wa Palestina...
Wakati Diamond Platnumz akiendelea kusherehekea mafanikio ya ngoma yake ya ‘Komasava’ Duniani, msanii huyo kuna namna kama amegeukia kwenye ulimwengu wa fashion hi...
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, #Simi, ametoa sauti yake katika maandamano ya kupinga ongezeko la kodi yanayoendelea nchini Kenya ambapo amedai kuwa inahuzunisha watu kupo...
Katika michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani, imeripotiwa kuwa mwamuzi msaidizi #HumbertoPanjoj aliyekuwa akichezea ‘mechi’ ya Peru na Canada amedo...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria Davido kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Chioma siku ya jana Jumanne Juni 25, mastaa wakike mbalimbali kutoka Bongo wamempongeza Ch...
Mmiliki wa mtandao wa X (zamani Twitter) na mfanyabiashara Elon Musk ameripotiwa kuwa na maelewano mazuri na aliyekuwa mke wake Talulah Riley hii ni baada ya kuonekana kwenye ...
Mwigizaji kutoka Marekani mwenye asili ya Kenya Lupita Nyongo amelipongeza kundi la vijana la ‘Gen Z’ na wananchi wote nchini humo kwa kuchukua uamuzi wa kuandaman...
Bondia Deontay Wilder bado ameendelea kuwa kimya juu ya hatma yake kwenye masumbwi tangu alipoahidi endapo atachapwa na Zhilei Zhang, nchini Saudi Arabia, atastaafu.
Wilder al...
Mwanamuziki wa Marekani #TaylorSwift amedaiwa kumeza mdudu na kushindwa kuendelea na show katika ziara yake ya dunia ya Eras iliyofanyika jijini London nchini Uingereza.
Kwa m...
Kuacha sigara ni mchakato ambao baadhi ya watumiaji wamekuwa wakigonga mwamba kila uchwao, lakini kwa Ibrahim Yücel kutoka Uturuki ilikuwa rahisi baada ya kutengeneza kof...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Nandy, amesimulia harakati zake za kupambania ndoto zake za kuwa msanii maarufu huku akidai kuwa kuna msanii kutoka kundi la THT alikuwa akimbania....
Baada ya bifu la mwanamuziki Wizkid na Davido kulindima kwa wiki kadha, hatimaye Wizkid amedai kuwa kwa sasa anampenda Mungu na hana chuki na mtu yeyote.
Wizkid ameyasema hayo...