Baada ya kutangaza kuondoka mwishoni mwa msimu katika klabu ya #Barcelona, kocha #XaviHernandez amebadili msimamo wake kwa kuthibitisha kuwa atabaki klabuni hapo hadi mwisho w...
Kijana moja aliyedaiwa kuwa ndiyo mbebaji wa dawa za kulevya za #Diddy, #BrendanPaul ameshitakiwa jana Jumatano kwa kosa la kukutwa na dawa aina Cocaine baada ya kukamatwa mwe...
Mama watoto wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Ne-Yo anayefahamika kwa jina la Big Sade amemfananisha msanii huyo na Diddy kwa kumuita 'Diddy Junior'.
Kwa mujibu wa Tmz Ne...
Familia ya marehemu rapa Tupac ipo kwenye mpango wa kumfungulia mashitaka mwanamuziki Drake baada ya kutumia AI (akili bandia)kutengeneza sauti ya Tupac katika ngoma yake aliy...
Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne.
Imeelezwa kuwa wa...
Kocha wa klabu ya #ManchesterUnited, Erik ten Hag na wachezaji wake watalazimika kupunguzwa mishahara kama watashindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kwa mujibu wa The Sun...
Inadaiwa kuwa klabu ya #ManchesterUnited imepanga kuweka dau nono kwa ajili ya kumununua beki wa klabu ya #InterMilan, #AlessandroBastoni kabla ya dirisha la usajili msimu uja...
Mwanamuziki kutoka Marekani, #MeganTheeSTallion amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mpiga picha wake #EmilioGarcia kwa unyanyasaji wa kihisia na mazingira magumu ya kazi.
Emil...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #KanyeWest amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Raisi nchini humo Baraka Obama, Michelle Obama....
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #JudeBellingham usiku wa kuamkia leo amepata tuzo ya mchezaji bora wa kiume katika tuzo za ‘Laures Sports Awar...
Baada ya ‘klabu’ ya Yanga kuweka bango la ushindi wa bao 5-1 dhidi ya watani wao Simba, na sasa wamerudia kile kile ambapo wametengeneza tena bango la ushindi wa 7...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Saweetie ameanika text zote za ‘rapa’ Quavo kupitia mitandao ya kijamii, hii ni baada ya Quavo kumtaja mwanadada huyo kwenye ngo...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wanamuziki kutoka nchini Marekani #KanyeWest na #Drake wamerudisha tena bifu lao baada ya Kanye kudai kuwa ‘rapa’ huyo amekabid...