Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na...
Bingwa wa mchezo wa chess kutoka nchini Nigeria, Tunde Onakoya ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuvunja rekodi ya kucheza chess kwa saa 60 mfululizo mchezo uliyochez...
Mgahawa maarufu kutoka nchini Italia uitwao ‘Al Condominio’ umekuja na mpango kabambe wa kuzuia wateja wake kutotumia simu wakati wa kula ambapo wametoa ofa ya kuw...
Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner Habash utaagwa kesho jijini Dar es Salaam na kuzikwa Jumanne Aprili 23, 2024 mkoani Kilimanjaro.Kwa muj...
Mwanamume mmoja kutoka Poland aitwaye Ćukasz Szpunar (53) amevunja rekodi na kuingia katika kitabu cha ‘Guinness World Records’ kwa kukaa kwenye barafu zaidi ya s...
Baada ya ‘rapa’ Quavo kumjibu mwanamuziki Chris Barown kupitia ngoma yake ya ‘Tender’ ambayo mashairi yake yanamtuhumu Brown kuwa alikuwa akimdhalilish...
Klabu ya #Yanga wameendeleza ubabe kwenye ‘Derby’ ya pili ya msimu huu baada ya kuibuka na ushindi mwingine wa mabao 2-1 dhidi ya watani, #SimbaSc katika dimba la ...
Mabosi wa klabu ya #ManchesterCity wameanza kutafuta ‘kocha’ mwingine baada ya mkataba wa kocha’ #PepGuardiola kuelekea ukingoni klabuni hapo.
Awali iliripot...
‘Klabu’ ya #AzamFC imefikia makubaliano na akademi ya Yeleen Olympique ya nchini Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby....
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini #Tyla amempongeza na kumsifia msanii mwenzake kutoka Nigeria #TemsBaby kuwa anakipaji kikubwa na amefungua milango kwa wasanii wengine....
Aliyekuwa mwigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya Kijiji, Bi Ubwa amefariki dunia leo Jumamosi Aprili 20, 2024, mtayarishaji wa tamthilia hiyo Abdully Usanga amethib...
Mtangazaji maarufu wa Redio ya Clouds FM, Gardner G Habash amefariki dunia, Msemaji wa Kampuni Clouds Media, Emilian Mallya amethibitisha.
Gardner aliyekuwa mtangazaji wa kipi...
Album mpya ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Taylor Swift iitwayo ‘The Tortured Poets Departmen’ imeripotiwa kuwa nyimbo moja ambayo imemuongelea mfanyabiasha...
Kampuni ya Usambazaji Muziki ya Ziiki Media imetoa maelezo na kukanusha malalamiko ya mwanamuziki Naseeb Abdul Diamondplatnumz yaliyodai kuwa kampuni hiyo imewazuia kuachia le...