Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil aitwaye, Érika de Souza Vieira ameshikiliwa na polisi baada ya kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki ili kwen...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido ameamua kufuata nyayo za ‘rapa’ Drake baada ya kumlipia mwanafunzi mkopo wa shule.
Mwanafunzi huyo alinyanyua bango ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ameripotiwa kuchunguzwa na polisi wa LAPD kufuatia tukio lililotokea usiku wa Jumanne baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kums...
Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
Kajala ame...
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya Manchester United, Jadon Sancho ambaye kwasasa anakipiga Borussia Dortmund ameripotiwa kueleza kuwa yupo tayari kurudi Man United ...
Wakati Melinda Ferguson akijiandaa kuandika kitabu kitakachozungumzia maisha ya mahusiano kati ya AKA na aliyekuwa mpenzi wake Anele, familia ya marehemu AKA, Tony na Lynn For...
Ikiwa zimepita siku chache tangu tamasha la muziki la Coachella kufanyika, limezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii, baada ya mwanamuziki Justin Bieber kuonekana akimbusu Jade...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #TiwaSavage ameweka wazi kuwa aliingia kwenye muziki kwa sababu ya mwanaume, lakini ndoto yake ilikuwani uigizaji.
Tiwa ameyasema hayo wakati...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanya na Chuo Kikuu cha Brigham Young ambao uliandikwa katika Jarida la Saikolojia ya Familia lilieleza kuwa, kuwa na Dada kunaweza kukufanya uwe na...
Imeripotiwa kuwa baadhi ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited bado hawajafanya maamuzi ya kusaini mikataba mipya ‘klabuni’ hapo wakisubiri kujua...
Mwili wa aliyekuwa mwanamichezo wa zamani ambaye pia alikuwa mwigizaji kutoka nchini #Marekani O. J. Simpson utachomwa moto baada ya kukamilisha taratibu za shughuli za mazish...
Ikiwa zimebaki siku chache tuu mwanamuziki kutoka nchini Marekani Taylor Swift kuachia album yake ya mpya iitwayo ‘The Tortured Poets Department’, msanii hiyo amep...
Kuna msemo usemao kila kitu kina umuhimu wake hata kama chazamani msemo huu umejidhihirisha kutoka katika kampuni ya ‘Fab Bricks’ ambapo wamekuwa wakitumia nguo ch...