Baada ya kuzuka sintofahamu kuhusiana na ajali aliyoipata Mwigizaji kutoka nchini Nigeria Pope Odonwodo hatimaye imethibitika kuwa mwigizaji huyo amefariki dunia saa chake baa...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Rihanna ameeleza kuwa anajiona mchafu akiwa na mpenzi wake #A$APRocky.
Rihanna amemsifia mpenzi wake huyo kwa kueleza kuwa ASAP Rocky huwa ...
‘Plov’ ni wali ambao asili yake ni nchini #Uzbekistan, watu nchini humo hupendelea na kukiheshimu chakula hicho kutokana na kudaiwa kuongeza hamu ya kujamiiana has...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo amkingia kifua mkali wa Hip-hop Diddy kwa kudai kuwa mwanamuziki huyo hana hatia.
Derulo ameyasema hayo wakati alipokuwa akipig...
Watu sita wanadaiwa kuhusika katika kifo cha aliyekuwa mchezaji wa ‘klabu’ ya #KaizerChiefs, #LukeFleurs wamekamatwa na Polisi nchini Afrika Kusini jana Jumatano A...
Ili filamu iwe na uhalisia ni lazima mwigizaji avae uhusika na kuufanya uwe maisha yake ya kila siku. Na hii ndiyo changamoto ambayo huwakuta baadhi ya waigizaji, lakini imeku...
Kitaa kinasema siku hizi ukitaka kusaidiwa kubali kuonekana kwenye mitandao ya kijamii, kuwa umepokea msaada.Zile mbwembwe wanazofanya wakienda vakesheni na bebe zao, ndizo wa...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Drake amedai kuwa muziki wa Hip-hop hautakuwa na amani hata siku moja nchini humo.
Drake ameyaeleza hayo wakati alipokuwa kwenye mue...
Imekuwa kawaida kwa watumiaji wa iPhone kuhitaji baadhi ya usaidizi kutoka kwa Siri, kama vile kumuuliza maswali. Hivyo basi kutana na Susan Bennett, ambaye ndiye mwenye sauti...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #BurnaBoy ameendelea kuupiga mwingi kupitia mtandao wa Sportify na sasa ameripotiwa kufikisha zaidi ya stream bilioni 1.1 kupitia album yake...
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni, kwa karne ya sasa ni ngumu, kukutana na binadamu ambaye hajawahi kuona mwanamke au mwanaume toka azaliwe kwani watu w...