Kutokana vazi la abaya kutrendi kwenye mitandao ya kijamii huku wengine wakidai kuwa ni lazima kuvaa vazi hilo katika sikukuu ya Eid El Fitr, Mkurugenzi wa Taasisi ya Al-Hikma...
Mwigizaji kutoka nchini Marekani Jonathan Majors (34) amekwepa kwenda jela mwaka mmoja na kukubali kupatiwa ushauri nasaha kuhusiana na unyanyasaji wa nyumbani, hii ni baada y...
Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu picha ya mwigizaji kutoka China, Jackie Chan kuzua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana akiwa ameota mvi kichwani na kwenye ndevu, sasa mwigiza...
Baada ya kutangaza kurudi tena Africa kwa ajili ya kusikiliza album yake iitwayo ‘Velturels’, uongozi wa mwanamuziki Kanye West umetoa taarifa nyingine ikieleza ku...
Tetesi zinadai kuwa klabu ya #InterMilan huwenda ikamchukua mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #AnthonyMartial baada ya mkataba wake kuisha ‘klabuni&r...
Msemo wa 'Mwalimu wa mathe hapa ni wapi?', unaendana na stori ya Robert Heft, ambaye mwaka 1958 akiwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 17, alibuni bendera ya Marekani yenye nyo...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani J.Cole amemuomba msamaha Kendrick Lamara katika onesho la Dream Ville usiku wa kuamkia leo.
Cole ameeleza kuwa anajuta kumuongelea vibaya &l...
Na Aisha Lungato
Alooooh! tulikubaliana kuwa mwendo ni ule ule wa kupeana tips za Ramadhani na leo nimewasogezea kitafunwa ambacho hakina mambo mengi, lakini ukila kwa ajili y...
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB) imetoa tarehe ya mchezo kati ya ‘klabu’ ya #Yanga na #Simba ambapo ‘mechi’ itachezwa siku ya tarehe 20 mwezi Apri...
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #MachesterCity, #KelvinDeBruyne ameingia kwenye orodha ya wachezaji waliofikisha mabao 100 kwenye ‘klabu’ hiyo baada ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Yammi ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya 'African Princess', ameonesha kuchoka kusubiri kutoa kazi mpya na kuamua kumkumbusha boss wake a...
Mwanamitindo mwenye umri wa miaka 21 kutoka nchini Marekani #AokiLee amekuwa gumzo katika mtandao wa X siku ya Jana, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mpenzi wake mwenye u...
Nyota mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati aki...