Aliyekuwa mke wa marehemu #Mohbad, amegoma mtoto wake kupimwa DNA baada ya watu kumshutumu kuwa huwenda mtoto huyo sio wa marehemu Mohbad.
Kwa mujibu wa Gossiptv News imeeleza...
Mwanaume mmoja kutoka nchini #Urusi aliyefahamika kwa jina la Dennis Vashurin mwenye umri wa miaka 36 imemlazimu kutembea na cheti chake cha kuzaliwa kwasababu ya kuthibitisha...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Beyonce ameshindwa kujizuia kwa kumpongeza mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, #Tyla kwa kutoa Album yake ya kwanza iitwayo “Tyla&rdqu...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika wa jina la #JocelynWildenstein maarufu kama ‘Cat Woman’ amefanya upasuaji wa sura yake zaidi ya mara 24 ili awe...
Katika mitaa tunayoishi tumezoea kuona wakazi wa eneo husika wakimiliki vifaa vya usafiri mbalimbali vikiwemo Gari, Baiskeli pamoja na pikipiki lakini ni nadra sana kuon...
Baada ya kuifikia rekodi ya Yemi Alade, kwa kufikisha watazamaji milioni 100 kupitia wimbo wake wa ‘Sukari’ kupitia mtandao wa YouTube na sasa mwanamuziki Zuchu an...
Baada ya kuonekana akiwa na mabinti zake mapacha wakati akiwasindikiza kwenye kiwanja cha ‘Gofu’ na sasa mfanyabiashara na mkali wa Hip-Hop Diddy ameonekana tena n...
'Rapa’ kutoka nchini Marekani Lizzo ametangaza kuacha kufanya muziki baada ya kidai kuwa haoni manufaa wala mafanikio aliyoyapata toka aanze kufanya muziki.Kupitia ukura...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido amezindua ‘Kozi’ mpya ya Muziki na Sanaa katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika Mashariki Kampala nchini Uganda....
DIDDY AONEKANA AKILA BATA NA MABINTI ZAKEBaada ya kushutumiwa na kufunguliwa mashitaka dhidi ya kesi za unyanyasaji wa kingono huku kutojulikana alipo na sasa mwanamuziki Didd...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce aliandaa tukio maalumu la kusaini autograph ambapo alikutana na mashabiki wake 150 katika duka la ‘Tower Records’ nchini...
Nyota wa muziki kutoka nchini Afrika Kusini ameripotiwa kuwa ndiye msanii anayefanya vizuri Barani Africa baada ya kupata waskilizaji wengi kupitia mtandao wa Spotify huku aki...