29
Kampuni zinazofanya kazi na Diddy kuchunguzwa
Wakati baadhi ya ma-staa mbalimbali wakihusishwa katika kesi ya mwanamuziki Diddy, na sasa imeripotiwa kuwa Mamlaka inayojihusisha na uchunguzi wa kesi hiyo inatarajia kufanya...
29
50 Cent adai haki ya malezi ya mtoto wake
Baada ya ‘rapa’ 50 Cent kugundua kuwa mzazi mwenziye Daphne Joy kuwa alikuwa akilipwa pesa kwa ajili ya kutoa huduma za kingono kwa Diddy, 50 ameripotiwa kudai hak...
29
Rayvanny akutana na Davido S.A
Akiwa katika muendelezo wa ziara yake katika nchi mbalimbali mwanamuziki Rayvanny akiwa nchini South Africa amekutana na mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Davido ambapo wote wa...
29
Suge: Diddy yupo hatarini
Mkurugenzi wa zamani wa ‘lebo’ ya Death Row Records, Suge Knight, amefunguka mengi kuhusiana na tuhuma zinazo mkabili mkali wa Hip-Hop Diddy kwa kueleza kuwa Combo...
28
Bifu la Diddy na 50 Cent ladaiwa chanzo wivu wa mapenzi
Baada ya mkali wa Hip-Hop kutoka nchini Marekani Diddy, na 50 Cent kutokuwa na maelewano mazuri kwa kipindi cha muda mrefu hatimaye imedaiwa kuwa bifu la wawili hao limetokana...
28
Kocha wa Al Ahly aahidi kumaliza mchezo kwa Mkapa
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #AlAhly, #MarcelKoller ameahidi kuimaliza ‘mechi’ yao dhidi ya ‘klabu’ ya #Simba katika uwanja wa Benjami...
28
Rosa Ree aingia kwenye listi ya Grammy
Mwanamuziki wa Hip-Hop nchini #RosaRee ametajwa kwenye orodha ya #Grammy ambayo imewaangazia wasanii wakike10 wa Afro Hip Hop ambao wanapaswa kutiliwa maanani kutokana na ubor...
28
Saudi Arabia yatangaza kushiriki miss universe 2024 kwa mara ya kwanza
Kwa mara ya kwanza katika historia Saudi Arabia imeripotiwa kushiriki katika shindano la Miss Universe 2024, ikiwakilishwa na Miss...
28
Waamuzi wa simba na Yanga wajulikana
Muamuzi #AbongileTom kutoka nchini Afrika Kusini ameteuliwa kusimamia mchezo wa robo fainali ya ‘ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya #AlAhly kutoka nchini ...
28
Burna Boy awatolea povu wanaosambaza picha yake ya zamani
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, Burna Boy amewatolea povu baadhi ya watu wanaosambaza na kuinanga picha yake ya zamani akiwa amenyoa ndevu huku akiwataka watu hao kuj...
28
Siku kama ya leo Smith alimchapa kofi Chris Rock
Tarehe na mwezi kama wa leo miaka miwili iliyopita dunia ilishuhudia kile kilichoitwa utovu wa nidhamu baada ya mwigizaji Will Smith kumchapa kofi mchekeshaji ambaye pia ni mw...
28
Aliyepanga njama ya kumuua AKA ajulika
Mahakama nchini Afrika Kusini imemtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye mtu aliyewalipa watuhumiwa sita wa mauaji ya aliyekuwa ‘rapa’ Kiernan Forbes, ...
28
Mapya yaibuka kesi ya Diddy
Wakati msako wa kumsaka ‘rapa’ Diddy ukiendele nchini Marekani mapya yaibuka ambapo imeripotiwa kuwa ‘rapa’ Yung Miami alihusika  kumbebea Diddy d...
27
Utafiti: Wafanyakazi wanaoenda likizo wananafasi kubwa ya kupandishwa cheo
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanyiwa na ‘Florida State University’ miaka saba iliyopita unaeleza kuwa wafanyakazi wanaoen...

Latest Post