Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya ...
Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti iliyotolewa na New Savings Survey, inaonesha kuwa 47% ya wazazi nchini Marekani, wanaendelea kutoa msaada wa kifedha kwa watoto wao, ambao wame...
Mwanamuziki wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, #Davido ameweka wazi kuwa alikutana na mke wake, #ChiomaAdeleke kabla ya kuwa na pesa wala umaarufu.
Kupitia mahojiano yake hivi...
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia #Shakira baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu #GeralgPique amedai kuwa hatojihusisha na mahusiano wala kuolewa tena.
Msa...
Ikiwa zimepita wiki tatu tangu kitokee kifo cha mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, sasa imeripotiwa kifo cha mwigizaji mwingine kutoka nchini humo anayefahamika kwa jina la Amae...
Mwanamuziki Zuhura Othman (Zuchu) ameandika rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa na video moja iliyofikisha idadi ya watazamaji milioni 100 katika...
Jiji la Arizona, lililopo US state, limeidhinisha mpango ambao utawaruhusu wafanyikazi wasio na makazi kulala kwenye maegesho ya magari kutokana na kupanda kwa bei za kupangis...
Na Peter AkaroTangu mwaka 2022 nyimbo zote za Zuchu zinazotoka ni kete muhimu katika mapambano yake ya kuepuka mtego uliomnasa staa wa Nigeria, Yemi Alade kwenye muziki kwa mi...
Ikiwa imepita miezi sita sasa tangu mwili wa marehemu mwanamuziki wa Nigeria, Mohbad kufukuliwa, sasa imeripotiwa kuwa matokeo ya uchunguzi wa maiti hiyo yatakuwa tayari wiki ...
Baada ya mama mzazi wa marehemu mfalme wa Pop Michael Jackson, Katherine Jackson (93) kukata rufaa dhidi ya wasimamizi wa mali za MJ, hatimaye wasimamizi wa mali hizo wamemkab...
‘Rapa’ kutoka Canada, Drake ameonesha ni kwa kiasi gani anatokwa na jasho baada ya kumaliza kufanya show.Kupitia video inayosamba mitandaoni inamuonesha Drake akiv...
Baada ya kuondoka na tuzo ya Oscar 2024, kama Mwigizaji Bora wa Kiume, Cilian Murphy ameripotiwa kuonekana katika muendelezo wa filamu ya ‘Peaky Blinders’.Taarifa ...
Familia ya marehemu mfalme wa Pop kutoka nchini Marekani Michael Jackson (MJ) imeripotiwa kuwa na mgogoro wa mali baada ya mtoto wa mwisho wa MJ, Bigi Jackson maarufu kama MJ ...
Afisa Habari na Mawasiliano #Yanga, #AllyKamwe amezungumzia hali ya majeruhi waliopo katika ‘klabu’ hiyo kuelekea mchezo wa robo fainali ‘Ligi’ ya Mabi...