Polisi nchini #China wamezindua kifaa aina ya roboti ambacho kinauwezo wa kuhamisha magari yaliyoegeshwa vibaya.Kifaa hicho ambacho kilipewa jina la ‘#Valet’ kinau...
Wakati kesi ya ‘rapa’ Deamonte Kendrick, maarufu kama Yak Gotti, ikiendelea kurindima mahakamani, Mawakili wake E. Jay Abt, Douglas Weinstein, pamoja na Katie A. H...
Baada ya mwanamuziki na producer kutoka nchini Marekani Dr Dre kutunukiwa nyota ya heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’, ametangaza ujio wa album ya pamoja na &lsqu...
‘Rapa’ Cardi B ameweka wazi kuwa kwa zaidi ya mwaka mmoja amekuwa akiogopa kuishi maisha yake halisi aliyoyazoea kutokana na kukosolewa na mashabiki. Akiwa katika ...
Baada ya kutupwa jela miaka minne na nusu kwa makosa ya ubakaji, hatimaye Mahakama jijini Barcelona imesema itamwachia nyota wa ‘soka’ wa zamani wa Brazil, Dani Al...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage amedai kuwa amekula chakula chenye sumu.Tiwa kupitia Instastory ame-share picha za dawa ambazo anatumia kwa ajili ya kupambana na...
Baada ya mwanamuziki Nicki Minaji kukataa kuingiza verse kwenye ngoma ya Kanye West iitwayo ‘New Body’, na sasa ni zamu ya ‘rapa’ Ice Spice naye amerip...
Kesi inayomkabili mwanamuziki wa bongo fleva Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula iliyotakiwa kusikilizwa Machi 18 na 19, ya madai ya Sh550 milion imepigwa kalenda katika M...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Dk Tony Nalda, kutoka katika kituo cha Scoliosis unaeleza kuwa wanaolalia tumbo hatarini kuathiri upumuaji kutokana na kukandamiza Diaphrag...
Baada ya kutengana mwaka mmoja uliopita huku kesi yao ikirindima miezi sita mahakamani, hatimaye mwanamuziki Ariana Grande na aliyekuwa mumewe Daliton Gomez wamepeana talaka r...
Baada ya kutangazwa na watoaji wa nyota za heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’siku chache zilizopita, hatimaye ‘rapa’ na producer Dr Dre tayari ametunu...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiw...
Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni, wakati baadhi ya watu wakitumia mvinyo uliotengenezwa na zabibu kwa ajili ya kujiburudisha, fahamu kuwa wapo wanaotumi mvinyo uliote...
Mwanamuziki Kanye West ambaye kwa sasa anatamba na albumu ya ‘Vultures’ amepanga kuja Africa kwa ajili ya usikilizaji wa albumu yake kwenye Piramid za Saqqara nchi...