Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma ya Kautaka inayoendelea kufanya vizuri na kupenya kila kona Jaivah ameuanza mwaka kwa kutoa ngoma iitwayo ‘Story’.Ku...
Mtoto wa mkali wa Hip hop kutoka Marekani, Diddy, Christian Combs, maarufu kama King Combs taratibu ameanza kurithi vitu vya baba yake jambo ambalo liliwashitua mashabiki huku...
Ikiwa imepita wiki moja tangu rapa kutoka jijini Atlanta Marekani, Young Thug kutoka gerezani kutokana na makosa yaliokuwa yakimkabili, hatimaye ameanza kutekeleza adhabu aliz...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini D Voice amedai kuwa yeye ndiyo msanii mdogo kutoka Afrika Mashariki anayerekodi video za mkwanja mrefu, huku akiwataka wanaobisha kuonesha mi...
Baada ya mtengeneza maudhui kutoka Marekani, Mr Beast kuahidi kutokla zawadi ya magari 26 kwa mashabiki zake katika siku yake ya kuzaliwa, hatimae mtengeneza maudhui huyo amet...
Mabosi wa klabu ya #ManchesterCity wameanza kutafuta ‘kocha’ mwingine baada ya mkataba wa kocha’ #PepGuardiola kuelekea ukingoni klabuni hapo.
Awali iliripot...
Album mpya ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Taylor Swift iitwayo ‘The Tortured Poets Departmen’ imeripotiwa kuwa nyimbo moja ambayo imemuongelea mfanyabiasha...
Aisha Charles
Isikiwapo ngoma iitwayo Mama Neema au Money Money, wengi inawakumbusha miaka 13 iliyopita, kwa sababu ndiyo nyimbo zilizokuwa zikifanya poa kutoka kwa mwanamuzik...
Baada ya kutangaza kuingia ulingoni Julai 20, mwaka huu, bondia wa ngumi za kulipwa kutoka nchini Marekani, Mike Tyson (57) tayari ameingia #Gym kwa ajili ya kuanza mazoezi ya...
Ikiwa imepita siku moja tangu jeshi la polisi nchini Afrika Kusini kutangaza mbele ya waandishi wa habari kuwa limewakamata watu sita wanaotuhumiwa kwa mauaji ya rapa, Kiernan...
Ukuaji wa teknolojia unazidi kushangaza wengi ambapo kwa sasa binadamu amefanikiwa kupandikizwa chipu kwenye ubongo kwa ajili ya kutumia kompyuta kwa kuwaza tu.
Ni siku chache...
Pamoja na yote Wema aliondoka kwenye mbavu za Mondi, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa. Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaan...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems ameendelea kuonesha makali yake katika kusukuma muziki kwenye mataifa mbalimbali, sasa ametangazwa mshindi kwenye Tuzo za Billboard Woma...
Baada ya ukimya wa miaka minne, hatimaye kundi la muziki The Mafik limerejea rasmi likiwa na wasanii wanne huku watatu wakiwa wapya na msanii #Hamadai pekee ndiye msanii wa za...