Mwanamuziki Diamond Platnumz mbali na kutoa ngoma kali kama ‘Komasava’ lakini pia anatajwa kuiunganisha Bongo Fleva na muziki wa Congo. Huku akilete ladha tofauti ...
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria Asake, amejikuta katikati ya utata na mashabiki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambao wametishia kumfungia msanii huyo kufanya matam...
Moja ya tukio ambalo limeibua maoni mengi katika mitandao ya kijamii wikiendii iliyopita ni kuhusiana na maneno ya mmoja wa mtayarishaji wa muziki na jaji katika mashindano ya...
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema marehemu Grace Mapunda 'Tesa' ni kati ya watu waliomsaidia miaka saba iliyopita wakati akijitafuta. Kamwe...
MWANAHAWA ALLY ASTAAFU KUIMBA TAARABU RASMIMkongwe wa muziki wa Taarabu Mwanahawa Ally amestaafu kuimba muziki huo baada ya kuimba kwa zaidi ya miaka 58.Sherehe hiyo ya kumuag...
Msanii mkongwe wa Taarab nchini Tanzania, Mwanahawa Ally, ameamua kuacha kuimba kutokana na maradhi yanayomsumbua.Hayo yamebainishwa na Zamaradi Mketema wakati akizungum...
Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa, Amos Mwamakula na aliyekuwa kocha wa mabondia wa kike nchini Comoro, Halina Abdallah Ally wamepewa fursa ya kujifunza namna ya kuwahudumi...
Aliyekuwa kipa namba moja wa Simba, Ashi Manula ametemwa kwenye kikosi cha timu hiyo msimu 2024/25 baada ya timu hiyo kutambulisha makipa wanne huku jina lake likiondolewa.Ofi...
Kila ifikapo tarehe ya leo Agosti 1, ulimwengu unaadhimisha siku ya ‘Girlfriends Day’ siku ambayo wasichana wanaopendana wanaitumia kukaa pamoja, kucheka na kushir...
Mkali wa ngoma ya ‘Komasava’ Diamond amefunguka kuhusu suala la waandaji wa Tamasha la ‘Afronation’ linalifanyika nchini Ureno kumpanga mchana tofauti ...
Siku moja baada ya kipigo cha pili mfululizo kutoka kwa ‘klabu’ ya #Yanga, Meneja habari na mawasiliano wa ‘klabu’ ya #Simba #AhmedAlly ameibuka kuwati...
Afisa Habari na Mawasiliano #Yanga, #AllyKamwe amezungumzia hali ya majeruhi waliopo katika ‘klabu’ hiyo kuelekea mchezo wa robo fainali ‘Ligi’ ya Mabi...