Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya mwanamuziki Marioo, mzazi mwezie na mfanyabiashara Paula Kajala amempatia maua yake mpenzi wake huyo huku akiweka wazi kuwa amefa...
Kipa wa Simba, Moussa Camara amezungumzia ubora wa ukuta wa timu hiyo unaongozwa na Fondoh Che Malone na Abdulrazack Mohamed Hamza kama sehemu ya kufanya kwake vizuri katika m...
Mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Marioo, Paula Kajala ameweka wazi kuwa mjamzito si kitu, bali hisia bora ni pale unapokabidhiwa mtoto wako na Nesi.Kupitia ukurasa wake wa Ins...
Baada ya kuthibitisha kutarajia kupata mtoto, hatimaye mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wamepata mtoto wa kike waliyompa jina la Amarah.Kupitia ukurasa wa Instag...
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani J.Cole kumuomba msamaha Kendrick Lamara katika onesho la Dream Ville lililofanyika wiki hii, kuhusiana na kumsema vibaya Lamar kupi...
Mchekeshaji na muigizaji kutoka nchini Gladness Kifaluka maarufu kama Pili Wa Kitimtimu ameweka wazi kutaka kuinua wanawake wenye vipaji vya uchekeshaji.Gladness ameyasema hay...
Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
Kutokana na baadhi ya mashabiki kutoka nchini #Nigeria kuumizwa na kitendo cha mastaa wao kutopokea tuzo yoyote ya #Grammy, mtangazaji Zamaradi Mketema ameyatoa ya moyoni huku...
Zamaradi Mketema aendelea kuonesha furaha aliyonayo baada ya mchezo wa jana Simba kutandikwa bao tano na Yanga, kutokana na furaha hiyo Zamaradi ametoa shukrani kwa Rais wa Ya...
Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond, Lukamba ameingilia kati maneno yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa kijana anayedai alikuwa akifanya kazi kwa Zamaradi lakini ...
Waswahili bwana hawakukoseaga walivyosema mkiachana muachane kwa wema ili hapo baadae msije kutoleana maneno mabaya mkawafaidisha waja, basi bwana vita nzito ya kutupiana mane...
Aisee unaambiwa kopa limejaa bwana au watoto wa mjini wasema Mahaba ndi ndi ndi yamedhihirishwa live na Mtangazaji na mjasiriamali Zamaradi Mketema baada ya kuweka bango lenye...