Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeanzisha mpango wa kusaidia wasanii wanaokabiliwa na uraibu wa dawa za kulevya, lengo likiwa ni kuwasaidia kupona...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), imetangaza kuanza operesheni maalumu katika kumbi za starehe na ma-hoteli zenye Shisha ili kubaini wanaocha...