Kama ilivyo kwenye mpira wa miguu ni sifa kwa mchezaji kucheza miguu yote kulia na kushoto. Hata kwenye muziki ni hivyo. Mtayarishaji anayeweza kuimba, kuandaa biti na melodie...
Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya mambo kwenye tasnia jambo lililompatia umaarufu ku...
Ni miongoni mwa mastaa Bongo waliojaliwa vipaji vingi, hakuna ubishi kuwa Mimi Mars amefanikiwa kutengeneza jina lake katika muziki na filamu kitu kinachomfanya kuwa chapa yen...
Ni wazi kuwa kwenye mitandao ya kijamii kinachozungumzwa zaidi kwa sasa ni habari ya mwanamuziki Zuchu na mwanadada Rita Norbeth ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz...
Msanii wa muziki nchini, Mr.Blue ambaye mwaka huu anatimiza miaka 22 kwenye kiwanda cha muziki, ametangaza kuachia nyimbo 22 kama zawadi kwa mashabiki wake.Akizungumza na waan...
Mtayarishaji wa muziki nchini Paul Matthysse 'P Funk' amebariki binti yake Paula Paul kubadili dini na kuwa Muislamu huku akimchagulia jina la Sheila.Hayo ni baada ya mwanamuz...
Baada ya msanii wa Bongo Fleva, Lady Jaydee kufanya Cover ya wimbo wa 'Goodness of God' wa Cecewinans mashabiki wamtaka kufanya nyimbo za Injili kwa wingi.Jaydee amesema amefa...
Rapa tokea jiji la Atlanta nchini Marekani, Young Scooter anaripotiwa kufariki dunia kutokana na majeraha yaliyosababishwa na kupigwa risasi wakati wa mzozo kwenye moja ya nyu...
Ni wazi kuwa mkombozi wa wasanii wengi ambao hawapati usikivu kwa kiasi kikubwa, kwa sasa ni shoo za 'chaka to chaka' yaani zile zinazofanyikia vijijini.Licha ya kuwa zilikuwa...
Master Jay afichua kinachowaponza wasanii wanaomiliki leboMtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda 'Master Jay' amesema rekodi lebo nyingi za wasanii Bongo zinashindwa ku...
Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia Guinness, baada ya kuweka rekodi ya mtu a...
Peter AkaroMwanamuziki wa Marekani, John Legend (46) amesema kipindi anarekodi na Lauryn Hill (46) alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu na hakutegemea kama kazi hiyo ingejumuis...
Kelvin KagamboKama kuna jambo linalowagusa wasanii wa Tanzania hasa Bongo Fleva na Bongo Movie ni maisha kabla na baada ya umaarufu. Swali kubwa ni je wasanii wetu wanajua jin...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva na CEO wa Next Level Music, Rayvanny ameweka wazi kuwa wakati Mbosso amepanga kuondoka WCB alimfuata na kumuomba ushauri.Akizungumza na waandishi wa...