Mwanamuziki kutoka nchini Canada ambaye makazi yake ni Marekani The Weeknd ameingia kwenye vichwa vya habari mbalimbali baada ya kuripotiwa kulipia mabango katika nchi mbalimb...
Baada ya wadau mbalimbali wa muziki Bongo kutafsiri vibaya baadhi ya maneno katika wimbo wa mwanamuziki Lavalava uitwao ‘Kibango’ kuwa hauna maadili kwenye maneno ...
Mashabiki wasiopungua 20, wanadaiwa kuumia vibaya baada ya kuangukiwa na bango wakati mchezo dhidi ya klabu ya #Stevo na #FCTwente huko nchini Uholanzi.
Taarifa zinaeleza kuwa...
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
Baada ya ‘klabu’ ya Yanga kuweka bango la ushindi wa bao 5-1 dhidi ya watani wao Simba, na sasa wamerudia kile kile ambapo wametengeneza tena bango la ushindi wa 7...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido ameamua kufuata nyayo za ‘rapa’ Drake baada ya kumlipia mwanafunzi mkopo wa shule.
Mwanafunzi huyo alinyanyua bango ...
Shabiki wa ‘Klabu’ ya Yanga anayefahamika kwa jina la Maalim Nash ameendelea kusimika mabango ya 5G katika viwanja vikubwa mbalimbali vilivyopo nchini Marekani.Kup...
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #BurnaBoy ameshinda tuzo ya msanii bora wa Afrobeats kwenye Tuzo za muziki za Billboard mwaka 2023 zilizotolewa usiku wa Novemba 19.
B...
Baada ya kuifunga ‘klabu’ ya Simba mabao 5-1, ‘timu’ ya Yanga imeamua kuweka bango karibu na uwanja wanaofanyia mazoezi Simba.
Bango hilo lenye matokeo...
Mashabiki wa ‘Klabu’ ya Borussia Dortmund walifanya maandamano katika ‘mechi’ ya Dortmund dhidi ya Newcastle iliyochezwa usiku wa kuamkia leo kwa kurus...
Binti aliyefahamika kwa jina la Miya Mwenye umri wa miaka 15 ameonesha mapenzi yake ya dhati kwa ‘rapa’ kutoka nchini marekani, Drake kwa kuweka bango kwa ajili ya...
Saa chache kabla ya mahojiano ya nyota wa Manchester United Cristiano Ronaldo na Piers Morgan kupeperushwa hewani, klabu hiyo imeondoa bango kubwa lenye picha ya ukutani ya mc...
Aisee unaambiwa kopa limejaa bwana au watoto wa mjini wasema Mahaba ndi ndi ndi yamedhihirishwa live na Mtangazaji na mjasiriamali Zamaradi Mketema baada ya kuweka bango lenye...