Kelvin KagamboNatamani wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo, lakini imejaa maana kubwa.Video ya wimb...
Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...