Rapa Young Boy kutokea nchini Marekani amepangiwa kuachiwa huru Julai 27, 2025 baada ya kutumikia kifungo cha miezi 23 gerazani kwa kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria.R...
Baada ya kuomba dhamana kwa takribani mara tatu bila mafanikio, hatimaye msanii wa Hip Hop Marekani Diddy Combs amekubali kubaki gerezani hadi pale kesi yake itakapoanza kusik...
Watoto saba wa mkali wa Hip Hop kutoka Marekani ambaye kwa sasa yupo gerezani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono, jana Novemba 4, wamesheherekea siku ya kuzaliwa kwa baba ya...
Baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ya kuendesha gari bila leseni, akiwa amelewa na kukimbia eneo la tukio baada ya ajali iliyoharibu miundombinu, mshindi wa taji la Mi...
‘Fowadi’ wa zamani wa Real Madrid, Manchester City na Brazil, Robinho ameanza kujifunza ufundi wa vifaaa vya umeme, ikiwamo kutengeneza televisheni akiwa gerezani ...
Licha ya kuwa gerezani ‘rapa’ kutoka nchini #Marekani, #KodakBlack amemfanyia surprise mama watoto wake kwa kutuma zawadi ya gari aina ya Range Rover na kiasi cha ...
Kwenye historia tarehe kama ya leo Disemba 20, 1993 aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump alifunga ndoa na Marla Maples. Hata hivyo mwaka 2005 ndoa yao ilivunjika wakiwa wam...
Aliyekuwa polisi wa Minneapolis, #DerekChauvin, ambaye alipatikana na hatia ya kumuua #GeorgeFloyd, ameripotiwa kuchomwa kisu katika gereza la Arizona.Kwa mujibu wa vyombo vya...
Wafungwa 4068 walioshindwa kulipa faini mbalimbali wameachiwa huru nchini #Nigeria katika mpango wa kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani nchini humo.
Waziri wa Mambo ya...
Rapa kutoka nchini Marekani #42Dugg amemaliza kifungo cha mwaka mmoja na nusu gerezani baada ya kushitakiwa kumiliki bunduki kinyume na sheria na kutojisalimisha kwa polisi.
V...
Baada ya kutumikia kifungo cha nyumbani tangu Agosti 30, 2023, hatimaye mke wa Rais wa zamani wa Gabon, Sylvia Bongo ametupwa jela katika gereza la Libreville, Oktoba 10 kwa m...
Baada ya ombi la kwanza la kutaka dhamana kutoka kwa ‘rapa’ Tory Lanez na kukataliwa, mwanamuziki huyo bado hajakata tamaa inaelezwa kuwa timu yake ya wanasheria i...