Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
Kuacha sigara ni mchakato ambao baadhi ya watumiaji wamekuwa wakigonga mwamba kila uchwao, lakini kwa Ibrahim Yücel kutoka Uturuki ilikuwa rahisi baada ya kutengeneza kof...
Vijana wa kiume watatu wameripotiwa kujeruhiwa kwa kupigwa risasi katika eneo la Dixie Marekani wakati mwanamuziki Lil Baby akiwa ana-shoot video ya ngoma yake mpya.
Kwa mujib...
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
Baada ya ‘klabu’ ya Yanga kuweka bango la ushindi wa bao 5-1 dhidi ya watani wao Simba, na sasa wamerudia kile kile ambapo wametengeneza tena bango la ushindi wa 7...
Wakati Melinda Ferguson akijiandaa kuandika kitabu kitakachozungumzia maisha ya mahusiano kati ya AKA na aliyekuwa mpenzi wake Anele, familia ya marehemu AKA, Tony na Lynn For...
Kutokana vazi la abaya kutrendi kwenye mitandao ya kijamii huku wengine wakidai kuwa ni lazima kuvaa vazi hilo katika sikukuu ya Eid El Fitr, Mkurugenzi wa Taasisi ya Al-Hikma...
Mwanamuziki wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, #Davido ameweka wazi kuwa alikutana na mke wake, #ChiomaAdeleke kabla ya kuwa na pesa wala umaarufu.
Kupitia mahojiano yake hivi...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Congo aitwaye Kapinga Kisamba Clarisse ambaye pia ni mtangazaji wa runinga kwenye moja ya chombo cha habari nchini humo amepongezwa na wadau mbali...
Pelagia Daniel Pekosi ni aina ya suruali yenye muonekano unaoshika mwili kuanzia usawa wa kiuno hadi kwenye magoti wa juu lakini upande wa miguuni huachia kwa upana tofauti na...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #MoMusic ameeleza kuwa #BabaLevo alistahili kupigwa na #Harmonize, huku akidai kuwa hata angekuwa yeye angefanya hivyo hivyo.
Mo ameyasema hayo kup...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, nchini #Whozu ametoa onyo kwa wanao mtongoza mpenzi wake #WemaSepetu kupitia akaunti yake ya Instagram na Snapchat.
Whozu ameyasema hayo kupitia ma...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #AliKiba amesema kuwa wasanii wanaotaka kufanya kolabo naye wajitafute kwanza hata kama mwanamuziki ambaye yupo chini ya lebo yake.
Akizungumza mbel...