Na Ammar MasimbaAsilimia kubwa ya wasanii wanaochipukia na hata wale walioko tayari kwenye gemu ya muziki hawajui jinsi ya kufanya biashara ya kusambaza kazi zao. Hali hii ime...
Mwigizaji kutoka Marekani Jamie Foxx ameiomba mahakama kutupilia mbali kesi iliyofunguliwa dhidi yake na mwanamke aliyemshutumu kwa unyanyasaji wa kijinsia.Kwa mujibu wa tovut...
Marehemu mwigizaji kutoka Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu ambaye alifariki Machi 2, 2024 tayari amezikwa katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu nchini humo.I...
Wanamuziki wa Bongo Fleva Nchini Rayvanny na Billnass wametuma salamu za pole na kuwaombea wananchi wa Kenya ambao wamejeruhiwa na wengine kuuwawa katika maandamano ya kupinga...
‘Rapa’ wa Marekani Nicki Minaj wakati akiwa anatumbuiza kwenye tamasha la ‘Afro Nation 2024’ lililofanyika nchini Ureno alisimamisha show yake na kumpo...
Baada ya mwanamuziki Davido kufunga ndoa na mkewe Chioma siku ya Jumanne Juni 25, 2024 na kutiki mji kufuatia na sherehe yao kuzungumzia ndani na nje ya Afrika, wanandoa hao w...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria Davido kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Chioma siku ya jana Jumanne Juni 25, mastaa wakike mbalimbali kutoka Bongo wamempongeza Ch...
Maafisa elimu Marekani wameingi katika uchunguzi wa bango la ubaguzi wa rangi lililomlinganisha nyota wa NBA, LeBron James na tumbili katika tangazo la chakula cha nafaka liit...
Mwanamuziki kutoka nchini Brazil Caroline Lyra ambaye pia alikuwa mke wa zamani wa mchezaji Ricardo Kaka, amedai kuwa aliomba talaka kwa mumewe kwa sababu hakuwa akimsaliti wa...
Ikiwa zimepita wiki tatu tangu kitokee kifo cha mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, sasa imeripotiwa kifo cha mwigizaji mwingine kutoka nchini humo anayefahamika kwa jina la Amae...
Muanzilishi wa kampuni ya ‘FutBolJobs’ Valentin Botella Nicolas, kutoka nchini Saudi Arabia amepanga kusajili wachezaji wapya kwa ajili ya ‘ligi’ daraj...
CEO wa Meta Mark Zuckerberg akionesha uwezo wa miwani inayotumia akili bandia (AI) katika kumsaidia kazi mbalimbali.
Miwani hii inafahamika kwa jina la Ray-Ban Meta, ambayo Ma...