Rapa kutoka Marekani Tyga amethibitisha kutokea kwa kifo cha mama yake mzazi aitwaye Pasionaye Nicole Nguyen, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 53Tyga amethibitish...
Kwenye ulimwengu wa mapenzi, inaonekana nyota wengi wa mpira wa miguu wanavutiwa zaidi na wanamitindo. Na hii siyo tu kwa Aziz Ki ambaye Februari 16, 2025 alifunga ndoa na mwa...
Historia imeandikwa. Ni katika sherehe ya harusi ya msanii na mfanyabiashara Hamisa Mobetto na mumewe kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki. Ambao jana Februari 19,2025 walifanya s...
Mwili unapokosa kinga imara, unakuwa katika hatari ya kushambuliwa na kila aina ya magonjwa, lakini nanasi lina sifa ya kukabiliana na hali hiyo.
Nanasi ni moja kati ya...
Kuvaa mavazi bora na ya heshima katika sehemu za kazi kuna umuhimu mkubwa na kunaleta faida nyingi kwa mfanyakazi na kwa shirika kwa ujumla. Hivyo ni muhimu kama mfanyakazi ku...
Kutokana na ugumu wa maisha, baadhi ya watu wameamua kujiajiri kwa kufungua biashara mbalimbali zinazoweza kuwaongezea kipato.
Kwa kulitambua hilo Mwananchi Scoop tumekusogeze...
Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Tyla amekiri kuwa amewahi kujichukia, kutokana na rangi yake kuwa nyeusi huku akitaja sababu ni kutokana na mazingira.Alipokuwa kwenye mahojiano ...
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone leo Februari 19,2025 anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kongosho nchini Marekani katika Hospitali ya Allina Health Mercy iliyopo Coon Rapid...
Rapa Jay Z na familia yake wanaripotiwa kupokea vitisho vya kuuawa kutokana na kesi ya ubakaji kwa binti wa miaka 13 anayodaiwa kufanya akiwa na Diddy mwaka 2000.Jay anadai am...
Mwanamuziki na mfanyabiashara tajiri kutoka Guinea, Moussa Sandiana maarufu Grand P, amemtambulisha mpenzi wake mpya aitwaye Mariame, baada ya kuachana na mwimbaji na mwanamit...
Baada ya record lebo ya ‘Pozi Kwa Pozi’ (PKP) iliyokuwa chini ya msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz kufanya vizuri miaka ya 2016 ikiwa na msanii wake Nedy Music, h...
Ikiwa zimepita siku chache tu tangu kuweka rekodi kupitia onyesho lake la ‘Super Bowl Halftime’, ambalo limekuwa tamasha lililotazamwa zaidi katika historia, na sa...
Mwanamuziki kutoka Colombia, Shakira ameahirisha moja ya show yake nchini Peru kutokana na tatizo la tumbo ambalo lilimfanya alazwe hospitali.Nyota huyo anayetamba na ngoma ya...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ndio anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa tuzo za wachekeshaji ‘Tanzania Comedy Award’ ...