Nyota wa muziki kutoka Marekani, Beyonce ameweka wazi utaratibu wake wakufanya tambiko kila anapomaliza mwaka ambapo hulifanya kwa kujirusha katika bahari.Imeripotiwa kuwa Bey...
Mwanamuziki kutoka Marekani Beyonce amedaiwa kujitosa kufunika sakata la mumewe Jay Z hii ni baada ya Foundation ya BeyGOOD iliyopo chini ya msanii huyo kutoa fedha takribani ...
Mwanamuziki Jay-Z alijitokeza hadharani kwa mara ya kwanza akiwa na familia yake katika onyesho la Disney la Mufasa la ku premier filamu ya 'The Lion King' huko Los Angeles, M...
Mwanamuziki wa Marekani Jay-Z anatuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 13 tukio ambalo linadaiwa kufanyika akiwa na Diddy.Kwa mujibu wa NBC News kwenye taarifa yao wa...
Msanii kutoka Nigeria Habeeb Okikiola ‘Portable’ amefunguka kwa kudai kuwa muziki unalipa kuliko mpira wa miguu huku akishangazwa na wanaodai kuwa wachezaji mpira ...
Baada ya Jay Z kuwashauri watu kuchagua pesa kuliko kuonana na yeye, kwa upande wa ‘rapa’ kutoka Marekani Rick Ross imekuwa tofauti kwake ameeleza ni bora kupata c...
Baada ya kuuliza swali kwa mashabiki kuwa kupata chakula cha usiku na Jay Z au akupe dola 500 ambayo ni sawa na zaidi ya billion 1 za kitanzania, utachaguwa nini, Jay amemaliz...
Ikiwa bongo land tunahangaika na nani atashikiria number one trending kwa muda mrefu, lakini kwa wenzetu mambo yako tofauti, Rapper Jay-Z anafanya kitu tofauti kupitia mistari...
Ebwana eeeh!!!!Unaambiwa Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya 'Patek Philippe Tiffany Blue Nautilus 5711' yenye thamani ya Dola Milioni 6.5 sawa na Tsh Bili...
Aisee Rapper kutoka nchini Marekani 21 Savage amesema kuwa Jay Z alimsaidia katika kupata Mwanasheria Bora Kwenye Kesi Yake Lakini Hakutaka Malipo Yoyote Zaidi Ya y...
Unaambiwa hii inaweza kuwa rekodi nyingine kutoka kwa Rapa wa nchini Marekani Jay-Z kupata followers Milioni moja katika mtandao wa kijamii wa Instagram ndani ya masaa matatu....
Ee bwana moja kati ya story kubwa huku mitandaoni ni pamoja na Rapper kutokea nchini Marekani Jay Z na mkewe Beyonce kutangaza kuuza nyumba yao kwa Dola za Marekani 4,450,000 ...