Mwigizaji Tyler Perry amezikosoa kampuni za bima kwa kutotumia njia bora za kusaidia jamii zilizoathiriwa na moto mkali unaoendelea jijini Los Angeles.Kupitia ukurasa wa Insta...
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
Mfanyabiashara wa Uingereza aliyefahamika kwa jina la Richard ameripotiwa kuishitaki kampuni ya simu za Iphone, hii ni baada ya kampuni hiyo kurudisha ‘meseji’ zil...
Mmiliki wa mtandao wa X zamani (Twitter) #ElonMusk amepinga kampuni ya Apple kutumia mfumo wa akili bandia (AI) kwenye iPhone na vifaa vyingine.
Musk ameweka wazi kuwa hakubal...
Aliyekuwa Meneja wa programu za #Facebook, Barbara Furlow-Smiles, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya ulaghai baada ya kuiba zaidi ya dola 5 milioni kutoka kwa kampuni hiyo ...
Idadi ya mamilionea kutoka katika jiji la New York nchini Marekani imeongezeka katika miaka ya hivi karibuni huku ikikadiriwa kuwa mmoja kati ya wakazi 24 anatajwa kuwa ni mil...
Serikali ya Congo imeishutumu Kampuni ya Apple kwa kutumia Madini yaliyochimbwa kinyume na sheria Mashariki mwa nchi hiyo kutengeneza bidhaa zake.
Kupitia mawakili wa nchi hiy...
Kwa mara nyingine tena Kampuni ya Usambazaji Muziki ya Ziiki Media, inaingia kwenye mgogoro na msanii wa Bongo Fleva, awamu hii Diamond ametoa tuhuma dhidi yao akidai kuwa Zii...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent anatarajia kurithi mikoba ya Diddy baada ya kampuni ya vinywaji ya ‘Vodka Ciroc’ kumfuta ubarozi Combs.
Kwa mujib...
Zaidi ya watu 1000 nchini Ujerumani siku ya Jana wamekusanyika katika maeneo mbalimbali kusherehekea kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi nchini humo.
Licha ya ruhusa hiyo watum...
Wakati baadhi ya ma-staa mbalimbali wakihusishwa katika kesi ya mwanamuziki Diddy, na sasa imeripotiwa kuwa Mamlaka inayojihusisha na uchunguzi wa kesi hiyo inatarajia kufanya...
Ukuaji wa teknolojia unazidi kushangaza wengi ambapo kwa sasa binadamu amefanikiwa kupandikizwa chipu kwenye ubongo kwa ajili ya kutumia kompyuta kwa kuwaza tu.
Ni siku chache...
Wakati mvua zikinyesha Bongo baadhi ya wamiliki wa magari huacha majumbani kwao na kutumia usafiri wa umma kutokana na kuhofia magari yao kuharibika kufuatiwa na maji kujaa ba...