Rais kutoka nchini Malawi Lazarus Chakwera ametangaza idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga freddy nchini humo, kuwa imeongezeka na kufikia idadi ya watu 1,000 h...
Mamlaka nchini Malawi zinasema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kufuatia kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku nchi nyingi zikiendelea kutuma misaa...
Idadi ya watu waliofariki kwa mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Freddy wapata 400, ambapo idadi hiyo inajumuisha vifo vilivyotokea tangu kimbunga hicho kilipoingia barani ...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza siku 14 za maombolezo baada ya kimbunga freddy kuuwa zaidi ya watu 225. pia ameagiza Bendera kupepea nusu mlingoti kwa si...
Zaidi ya watu 200 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya kimbunga Freddy kukumba eneo la kusini mwa Afrika kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja.
Serikali imetan...
Mamlaka nchini Malawi imefunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji.
Mvua kubwa...
Kikitokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita, Kimbunga Freddy kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa Kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi Vi...
Takribani watu 7 nchini Madagascar na 7 Msumbiji wamepoteza maisha baada ya kimbunga Freddy kupiga.
Kulingana na ripoti ya hivi punde ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu ...
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kimbunga cha kitropiki kukumba pwani ya mashariki ya Madagascar, huku mvua kubwa ikiambatana na upepo mkali kuangusha mapaa ya nyumba na kus...
Idadi ya watu waliokufa kutokana na Kimbunga Sitrang nchini Bangladesh imefikia 28 huku mamilioni ya wengine wakisalia bila umeme.
Idadi hii imeongezeka baada wafanyakazi wa u...