Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
Mwanamuziki kutoka Marekani Jason Derulo anatarajia kutumbuiza remix ya ngoma ya ‘Komasava’ na Diamond kwa mara ya kwanza jijini Johannesburg.Kupitia ukurasa wa In...
Mwanamuziki Barnaba Classic ambaye kwa sasa ni mwigizaji wa filamu ya Mawio inayorushwa Azam Tv amesema kuwa kabla ya kuanza muziki alikuwa mwigizaji
“Nilikuwa mwigizaji...
Kawaida ubunifu ndiyo kitu kinachotofautisha mtu mmoja na mwingine katika kazi ya sanaa hasa katika muziki ambapo kila msanii anatamani kuwa bora kuliko mwenzake.
Wapo ambao w...
Kufuatia mvutano wa kugombania msemo unaofanania na "Kuchekacheka tu kuoga aaah" kati ya wachekeshaji Shafii Brand na Steve Moses 'Stive Mweusi', Ofisa Usajili kutoka Wakala w...
Wakati Diamond Platnumz akiendelea kusherehekea mafanikio ya ngoma yake ya ‘Komasava’ Duniani, msanii huyo kuna namna kama amegeukia kwenye ulimwengu wa fashion hi...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Nandy, amesimulia harakati zake za kupambania ndoto zake za kuwa msanii maarufu huku akidai kuwa kuna msanii kutoka kundi la THT alikuwa akimbania....
Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu mwanamuzika wa Marekani, Justin Timberlake kukamatwa na polisi akiwa amelewa, msanii huyo ametumbuiza kwa mara ya kwanza katika tamasha la...
Bondia wa ngumi za uzito duniani (Heavy Weight), Deontay Wilder ameporomoka kwenye viwango vya ubora kwenye mchezo huo, huku Tyson Fury akimpisha Oleksandr Usyk namba moja.
Wi...
Waswahili husema kuishi kwingi, kuona mengi, pasi na shaka kauli hii inaendana na maajabu ya mti unaotiririsha maji.
Wengi wamezoea kuona miti ikipandwa, ikikua, ikikauka na m...
Baada ya mzalishaji muziki nchini Trone, kuthibitisha ujio wa albamu ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu, sasa msanii huyo amesema imekamilika kwa asilimia 100.Zuchu ametoa ta...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa kitu chake cha kwanza kununua baada ya kupata pesa ya kutosha alinunua nyumba ya ndoto zake.Ayra ameyasema hayo wakati akiw...
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Tyla naye amekuwa ni miongoni wa mastaa waliyohudhuria katika usiku wa tamasha la mitindo nchini Marekani liitwalo ‘Met Gala&rsqu...