Britt Allcroft, mtayarishaji wa katuni ya Thomas & Friends, kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na mtayarishaji...
Mkali wa Hip-hop Marekani Diddy ametajwa kuwa ni mmoja wa wawekezaji waliomsaidia Elon Musk kununua mtandao wa X (zamani twitter) mwaka 2022.Kwa mujibu wa tovuti ya Tmz imeele...
Baada ya kumiliki magari ya thamani kwa muda mrefu ambayo hajui kuyaendesha, hatimaye mwanamuziki kutoka nchini Marekani Cardi B, ameanza kujifunza namna ya kuendesha gari aki...