Gemu ya Hip-hop Tanzania kwa sasa ina majina mengi ya wasanii wanaofanya vizuri hususani wa kizazi kipya ambao kwa pamoja wanaitwa 'New Generation Ya Rap' hapo utakutana na ki...
2024 ni mwaka ambao zimeachiwa albamu nyingi kutoka kwa wasanii wa Hip-hop nchini ikiwemo albamu ya Mbuzi kutoka kwa Young Lunya ambayo ilitoka rasmi June 28, 2024 ikiwa imesh...
Mwanamuziki Billnass amesema tuzo zote duniani huwa zinalalamikiwa hivyo kwa maoni ambayo yanaendelea kutolewa dhidi ya Tuzo Za Muziki Tanzania yasiwe ya kuvunja moyo."Mimi ni...
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na Meneja wa msanii Diamond, Babu Tale ameachia rasmi list ya wasanii waliomkosha kwa mwaka 2023.Babu Tale kupitia ukurasa wake wa Instagra...
Mwanamuziki na mwanasiasa nchini, Hamisi Mwinjuma #MwanaFA, amemtambulisha rapper #YoungLunya kama ‘Mfalme’ wa Hip-hop kupitia ukurasa wake wa X/Twitter.
MwanaFA a...
Yale maokoto ambayo wengi walikuwa wakiyasubiri kwa muda mrefu ili kujua kiasi cha pesa ambacho wasanii watapata kutokana na kazi zao kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya Redio...
Nyie nyieee!! Mambo yanaenda kasi kwa muziki wa Bongo Hip Hop ni baada ya Young killer Msodokii kumjibu Young Lunya kupitia Freestyle Session 6 na kushika kasi kwa ufuatiliwaj...
Niaje mtu wangu wa nguvu? Kukuletea habari kuhusu wasanii wako ni jukumu langu ndo maana tunazitafuta na kukusogezea stori zote za burudani kwenye ukurasa wetu wa Mwananchi Sc...
Yes, mdau nikwambie tu tegemea kukutana na ngoma mpya kutoka kwa wakali Young lunya pamoja na Billnass ikiwa kwenye mikono ya producer s2kizzy siku za hivi...