15
Mahari ya Azizi Ki kwa Hamisa Mobetto kufuru
By RHOBI CHACHAHATIMAYE taarifa ikufikie kwamba, mwanamitindo Hamisa Mobetto leo Jumamosi, Februari 15, 2025, amelipiwa mahari ya ng'ombe 30 na Stephanie Azizi Ki ambaye ni ki...
15
Mama Mobetto afichua siri Aziz na Hamisa walivyokutana
MAMA mzazi wa Hamisa Mobetto aitwae Shufaa Lutenga maarufu 'Mama Mobetto 'amefichua siri akieleza siku ya kwanza mkwewe, Stephane Aziz Ki kukutana na Hamisa Mobetto alimtamkia...
03
Ili Uoe Unatakiwa Ukate Mikono Na Umpe Mke Kama Mahari
Kama unajidanganya kuwa umeshawahi kuona kila kitu kwenye dunia hii basi nakujuza kuwa bado kunavitu haujawahi kuviona kabisa. Kibongo bongo baadhi ya vijana wanagoma kuoa huk...
09
Atakaye oa kwa Rais Museveni analipiwa mahari
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema huwa anakataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, badala yake hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.Hii ni kin...
13
Waliotuma maombi ya kutolewa mahari wafikia 1000
Zimepita  siku nne tuu tangu Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al- Hikma kutangaza nia ya kuwalipia mahari vijana 50 ambao wapo tayari kuoa inaelezwa kuwa zaidi ya watu...
10
Sheikh Kishki:Tutalipa mahari kwa vijana 50
Taasisi ya Dini ya Kiislam ya Al- Hikma Foundation kutoka Jijini Dar es salaam, imetanganza kuwaozesha vijana 50 kwa kuwalipia mahari ambao bado hawajaoa kutokana na changamot...
25
Fahyma Aongeza Mahari yake
Hii sasa kali, Mwanamitindo maarufu nchini Fahyma  au  Fahyvanny ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake u...

Latest Post