20
Ifahamu tamaduni ya kuomboleza kwa kukata vidole
Kuishi kwingi kuona mengi, ndivyo walivyosema wahenga. Msemo huo unaendana na mila na desturi za nchini Papua New Guinea, ambapo moja ya desturi zinazoshangaza ni ile ya kabil...
05
Msiba wa Tesa wamuibua Ray C, awataja bongo fleva
Mwanamuziki mkongwe nchini Rehema Chalamila ‘Ray C’ amewapongeza wasanii wa filamu nchini kwa umoja wao katika matatizo huku akiwataka wasanii wa Bongo Fleva kuiga...
01
Safari ya Bi Star kutoka kwenye Taarab hadi kutesa anga za filamu
Waswahili wanasema vya kale ni dhahabu, watozi na wanagenzi wakafika mbali zaidi na kusema wakongwe hawafi 'legends never die'. Hii imethibitika baada ya mwigizaji mkongwe Sha...
14
Jose Chameleone afunguka siri ya mafanikio yake
Mwanamuziki kutoka Uganda Joseph Mayanja maarufu Jose Chameleone amefunguka siri ya mafanikio yake yanayomfanya andelee kukubalika katika tasnia ya muziki kwa kuweka wazi kuwa...
30
Camila atamani Drake na Kendrick Lamar wamalize ugomvi
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #CamilaCabello ametamani #Drake na #KendrickLamar wamalize bifu lao ambapo amedai kuwa watu wamekuwa wakimsema vibaya Drake.Camila ameyasem...
29
Chanzo cha anguko la Ray C, awataja watoto wa 2000
Ikiwa ni mwendelezo wa historia ya mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C kuhusu maisha yake, sasa ameeleza chanzo cha anguko lake lililopel...
06
Kilichomkimbiza Ray C Tanzania
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C ameweka wazi kuwa sababu ya kuondoka Tanzania na kuhamia Paris, Ufaransa ni kutokuwa sawa kiafya.Ray ...
24
Man U wamuwinda beki wa Inter Milan
Inadaiwa kuwa klabu ya #ManchesterUnited imepanga kuweka dau nono kwa ajili ya kumununua beki wa klabu ya #InterMilan, #AlessandroBastoni kabla ya dirisha la usajili msimu uja...
23
Inter Milan watwaa taji la 20 serie A
'Klabu' ya Inter Milan imecheza ‘soka’ la kibabe ikiichapa mahasimu wao AC Milan mabao 2-1 na kutwaa taji lao la 20 la Serie A huku ikiwa bado na ‘mechi&rsqu...
20
Tyla: Tems Baby amefungua milango kwa wasanii
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini #Tyla amempongeza na kumsifia msanii mwenzake kutoka Nigeria #TemsBaby kuwa anakipaji kikubwa na amefungua milango kwa wasanii wengine....
08
Inter Milan mbioni kumnyakua Anthony
Tetesi zinadai kuwa klabu ya #InterMilan huwenda ikamchukua mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #AnthonyMartial baada ya mkataba wake kuisha ‘klabuni&r...
11
Albamu ya kwanza ya Tems kuachiwa mwaka huu
Baada ya kushiriki kuandika nyimbo za mastaa wakubwa duniani kama Beyonce na Rihanna, hatimaye Temilade Openiyin ‘Tems’ kutokea nchini Nigeria ametangaza kuwa mwak...
26
Kamari yamponza Tonali
Mchezaji wa ‘klabu’ #NewcastleUnited, #SandroTonali amefungiwa miezi 10 kujihusisha na masuala ya ‘soka’ kwa kukiuka sheria za michezo ya kubashiri (ka...
26
Kanye West kikaangoni, Vazi la kufunika uso lamponza
Rapper Kanye West, ameendelea kuwekwa kikaangoni nchini Italy kutokana na matukio yake, awamu hii mkali huyo anashutumiwa kwa kuvunja sheria za Italy za kupambana na ugaidi. S...

Latest Post