Licha ya Rayvanny kushirikiana na aliyekuwa bosi wake kimuziki, Diamond Platnumz katika nyimbo 10, hakuna hata moja iliyofikia rekodi aliyoipata katika nyimbo mbili tu alizoms...
Ikiwa ni mwendelezo wa historia ya mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C kueleza sababu ya kuondoka Tanzania na kuhamia Paris, Ufaransa, sa...
Baada ya mwanamuziki #Usher kukiwasha katika fainali za ‘Super Bowl’ zilizofanyika katika uwanja wa Allegiant, Nevada na sasa imeripotiwa kuwa mwaka 2025 fainali h...
Na Michael Onesha
Niaje niaje watu wangu wa Mwananchiscoop, naona harakati za chuo kama zimetaradadi, kama tunavyojua kipindi hichi ni kipindi ambacho baadhi ya vyuo vinafanya...
Taasisi ya Kimataifa ya Uchambuzi wa Mifumo (IIASA), imeeleza kuwa idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia bilioni 9.4 ifikapo mwaka 2070, licha ya kudaiwa kuwepo kwa ongeze...
RAMADHAN ELIAS
KOLABO la Diamond Putnumz na Mr Blue ndio habari ya mjini kwa sasa. Wimbo ni 'Mapozi' humo ndani akiwemo pia Jay Melody. Inabamba kinoma huko kitaa.
Gemu ya Hip...
Kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii Bongo kutikisa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ngoma za wasanii wengine kwa kuzifanyia cover, ndivyo ilivyotokea kwa kijana...
Meneja wa wasanii na diwani wa Kilungule #MkubwaFella amefunguka kuhusu safari yake kwenye muziki kama meneja kwa kusema marafiki zake walisema atafeli kwenye muziki.
Fella am...
Ikiwa ni siku moja tangu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo kuwaonya wasanii wanaotumia na kuhamasisha matumi...
Mfanyabiashara na tajiri mkubwa duniani Elon Musk amewashauri wamiliki wa mtandao wa Wikipedia kubadilisha jina lao huku akidai atawapatia ofa ya zaidi ya dola bilioni moja.
E...
Mwanariadha mkongwe wa Olimpiki kutokea nchini Marekani Mary Lou Retton inadaiwa kuwa kwa sasa anapigania maisha yake ICU akishambuliwa kwa ukonjwa wa mapafu (Pneumonia).
Inae...