02
Kesi Ya Lildurk Yasogezwa Mbele Mpaka Oktoba 2025
Kesi inayomkabili rapa wa Marekani Lil Durk iliyopangwa kusikilizwa Januari 7 imehairishwa hadi Oktoba 13, 2025 kufuatia na makubaliano yaliyofanywa kwa pande mbili wanasheria...
08
Aristote kutoka kwenye kusuka nywele, mpaka biashara ya ardhi na majengo
Mfanyabiashara maarufu nchini Aristote amefunguka namna biashara yake ya saluni inavyomnufaisha huku ikimpatia furasa nyingine amb...
01
Mwanzo mwisho Kesi ya Young Thug mpaka kufikia hukumu
Ammar MasimbaRapa maarufu nchini Marekani kutokea jimbo la Georgia, Atalanta Jeffery Williams ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Lebo ya Muziki ya YSL ameruhusiwa kurudi nyumba...
31
Jaymoe: Msisubiri mpaka tufe ndio mtupe maua yetu
Mkongwe wa Hip-hop nchini Jaymoe amewataka mashabiki na wapenzi wa muziki kumpa maua yake kabla hajafa kutokana na mengi aliyoyafanya na wasanii wenzie katika tasnia hiyo.Kati...
10
Dream Doll atumbuiza wimbo wa Rayvanny Uingereza
Rapa kutoka nchini Marekani Dream Doll ametumbuiza wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva Rayvanny uitwao ‘Shake shake’ nchini Uingereza alipokuwa katika zira yake. K...
08
Mtoto wa Lil Durk adaiwa kumpiga risasa baba yake wa kambo
Mtoto wa kiume wa rapa kutoka nchini Marekani, #LilDurk, Romeo (10) anadaiwa kumpiga risasi baba yake wa kambo, kwa ajili ya kumtetea mama yake wakati wa mzozo. Kwa mujibu wa ...
20
Chris Brown akicheza ‘Komasava’ ya Diamond
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown bado ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye ngoma za wasanii wa Afrika na sasa ameonekana akicheza ‘Komasava’ ya Diamond a...
10
Jinsi ya kupaka Make-Up
Ulimwengu wa fashoon unabebwa na vitu vingi, kutokana na hilo jarida la Mwananchi Scoop, limekusogezea njia za kupaka make-up simple. Kama inavyofahamika urembo ni kitu muhimu...
10
Jinsi ya kupika pilau kwa ajili ya biashara
  Na Aisha Lungato Moja ya biashara ambayo inalipa sana siku hizi na inafanywa na vijana wengi wa kiume nyakati za usiku ni uuzaji wa chakula haswa pilau. Waswahili wanas...
15
Takribani 14 wafariki kwa kuangukiwa na bango la tangazo
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
22
Magauni yenye gharama zaidi duniani lipo la 77 bilioni
Haya ndiyo magauni yenye gharama zaidi duniani. Vipi unaweza kununua au tukuache na nguo zako za kariakoo? 1.Nightingale ya Kuala Lumpur yenye gharama ya dola 30 milioni sawa ...
20
Bi Ubwa wa Zahanati ya Kijiji afariki dunia
Aliyekuwa mwigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya Kijiji,  Bi Ubwa amefariki dunia leo Jumamosi Aprili 20, 2024, mtayarishaji wa tamthilia hiyo  Abdully Usanga amethib...
11
Jason Derulo anaamini Diddy hana hatia
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo amkingia kifua mkali wa Hip-hop Diddy kwa kudai kuwa mwanamuziki huyo hana hatia. Derulo ameyasema hayo wakati alipokuwa akipig...
18
Trump ageukia kwenye uuzaji wa viatu
Aliyekuwa Rais wa Marekani #DonaldTrump ameingia katika soko la biashara ya kuuza viatu vya dhahabu aina ya ‘Never Surrender’ ambavyo vitauzwa kwa gharama ya Dola ...

Latest Post