Unafahamu kuwa Michael Jackson alitumia mapigo ya moyo kama mdundo kwenye wimbo ‘Smooth Criminal’ uliotoka mwaka 1987 ndani ya albamu ya Bad.Inaelezwa kuwa kwa msa...
Rapa wa Marekani, Kendrick Lamar ameweka rekodi nyingine kwenye muziki baada ya nyimbo zake zote kufikisha wasikilizaji bilioni 50 kwenye jukwaa la Spotify. Rekodi hiyo inamfa...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ipo katika hatua za mwishoni kuufanya muziki wa singeli kuingia kwenye orodha ya urithi wa dunia.Hayo yameelezwa na Naibu Katibu ...
Katika maisha ya kila siku, kuna mambo madogo yanayoweza kuleta tofauti kubwa katika jinsi tunavyojisikia na jinsi tunavyoonekana mbele ya wengine. Moja ya mambo hayo ni kunuk...
Kwa wapenda vitafunwa vya haraka na vitamu, hotdog imekuwa miongoni mwa chaguo lao hasa mijini huku ikiwakosha wengi kutokana na ladha yake. Hotdog ni chakula rahisi kinachowe...
Marekani. Maisha ya baadhi ya mastaa hutawaliwa na kiki na trending ili majina yao yaendelea kutamba mjini. Lakini mbali na kutaka kuiteka mitandao ya kijamii yapo ambayo yana...
Ukiwa unakaribia kumalizika mwaka mzima msaa wa Marioo, Stans 'Mr Vest' bado hajaonyesha makali ambayo mashabiki walikuwa wanategemea kutoka kwake.Staa huyo alitambu...
Mwigizaji Rehema Msangule ‘Yasinta wa Kombolela’ ameeleza namna alivyopata dili la kuigiza kwenye filamu ya ‘Nsyuka’ Akizungumza na Mwananchi, Yasinta ...
Waswahili wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa, hilo pia aliliona mwanamitindo Jasinta Mawabe ambaye mapema mwaka huu alifanya sendoff na kuweka wazi kuwa a...
Jina la Jux limeendelea kujizolea umaarufu katika Bongofleva na kimataifa hasa miaka ya hivi karibuni, muziki na mtindo wake wa maisha kama chapa umemfanya kuwa miongoni mwa w...
Pawa ya Mbosso ilivyoanza kuhiti, Baba Levo akachomoka alipokuwa na kusema Diamond alimsaidia Mbosso kuandaa hiyo ngoma. Watu wakabisha wakasema Mbosso tunamjua dogo fund...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kitaifa ya Moyo mjini Warsaw, Poland, umebaini kuwa ndoa huwafanya wanandoa kuwa vibonge au kuongezea uzito zaidi.Utafiti huo ul...
Msemo wa msanii mkongwe wa Singeli Msaga Sumu, kuwa kila msanii wa nyimbo za aina nyingine ipo siku atakuja kuimba Singeli, umeanza kuonekana.Baada ya wasanii Zuchu, Jux, Diam...