Hakuna ubishi kuwa MB Dogg ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva ambao muziki wao ulitikisa vilivyo, ngoma zake zililia sana mitaani na kutawala chati karibia zote za...
Aloooooh! Mnasema nihame bongo niende wapi mie ahahha! Basi bwana siku chache baada ya yule Baba wa binti maarufu Paula kajala, bwana P Funk Majani kumwaga povu kuhusu Lebo ya...