Kesi inayomkabili rapa wa Marekani Lil Durk iliyopangwa kusikilizwa Januari 7 imehairishwa hadi Oktoba 13, 2025 kufuatia na makubaliano yaliyofanywa kwa pande mbili wanasheria...
Mwanamitandao kutoka Uswisi aitwaye Jocelyn Wildenstein maarufu kama "The Cat Woman" Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.Taarifa ya kifo chake imethibitisha na mpenzi wa...
Ammar MasimbaRapa maarufu nchini Marekani kutokea jimbo la Georgia, Atalanta Jeffery Williams ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Lebo ya Muziki ya YSL ameruhusiwa kurudi nyumba...
Mkongwe wa Hip-hop nchini Jaymoe amewataka mashabiki na wapenzi wa muziki kumpa maua yake kabla hajafa kutokana na mengi aliyoyafanya na wasanii wenzie katika tasnia hiyo.Kati...
Rapa kutoka nchini Marekani Dream Doll ametumbuiza wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva Rayvanny uitwao ‘Shake shake’ nchini Uingereza alipokuwa katika zira yake.
K...
Mtoto wa kiume wa rapa kutoka nchini Marekani, #LilDurk, Romeo (10) anadaiwa kumpiga risasi baba yake wa kambo, kwa ajili ya kumtetea mama yake wakati wa mzozo.
Kwa mujibu wa ...
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown bado ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye ngoma za wasanii wa Afrika na sasa ameonekana akicheza ‘Komasava’ ya Diamond a...
Ulimwengu wa fashoon unabebwa na vitu vingi, kutokana na hilo jarida la Mwananchi Scoop, limekusogezea njia za kupaka make-up simple.
Kama inavyofahamika urembo ni kitu muhimu...
Na Aisha Lungato
Moja ya biashara ambayo inalipa sana siku hizi na inafanywa na vijana wengi wa kiume nyakati za usiku ni uuzaji wa chakula haswa pilau.
Waswahili wanas...
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
Kwa mujibu wa watafiti katika maabara ya Human-Animal Interaction (HAI) ya Chuo Kikuu cha Oregon State cha nchini Marekani webaini kuwa paka wanafurahia maisha zaidi wakiishi ...
Haya ndiyo magauni yenye gharama zaidi duniani. Vipi unaweza kununua au tukuache na nguo zako za kariakoo?
1.Nightingale ya Kuala Lumpur yenye gharama ya dola 30 milioni sawa ...
Aliyekuwa mwigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya Kijiji, Bi Ubwa amefariki dunia leo Jumamosi Aprili 20, 2024, mtayarishaji wa tamthilia hiyo Abdully Usanga amethib...