08
Kolabo Zatajwa Kuwapeleka Wasanii Wa Afrika Kimataifa
Mojawapo ya sababu kuu zinazochochea ukuaji wa muziki wa Afrika katika soko la kimataifa inatajwa kuwa ni ushirikiano ‘kolabo’ kati ya wasanii wenyewe kwa wenyewe ...
28
Sababu Diamond Kupeleka Ndinga Zake Zanzibar
Moja ya tukio ambalo limepokea maoni mengi kutoka kwa mashabiki na mastaa katika shamra shamra za ugawaji wa tuzo za Trace ni kuhusiana na mwanamuziki Diamond kusafirisha gari...
14
Alikiba afunguka mipango ya kuupeleka muziki wake Kimataifa
Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba amefunguka kuhusiana na plani zake za kuupeleka muziki wake Kimataifa kama wasanii wengine kwa kuweka wazi kuwa anamipango wa kufan...
08
Wasanii Bongo walivyokwepa albamu na kugeukia EP
Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasan...
19
Picha ya kihistoria na somo muhimu sana
Picha hii ilipigwa katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 1986. Pichani ni Maradona, Pele na Platini. Maradona alikuwa balozi wa mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya...
18
Mbappe Anunua Mchoro Wa Pele Kwa Zaidi Ya Sh 1 Bilioni
Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya PSG, Kylian Mbappé ameripotiwa kutumia Dola 566,514 ikiwa ni zaidi ya Sh 1.4 bilioni kununulia mchoro wa marehemu nyota wa soka w...
09
Mfahamu daktari aliyejifanyia upasuaji mwenyewe
Kikundi cha wapelelezi 11 nchini Urusi walisafiri kwa takribani siku 36 kwa ajili ya kupeleleza kwenye baadhi ya mipaka nchini humo ambapo baada ya kumaliza kazi hiyo walilazi...
19
Davido kuwapeleka vijana kimataifa
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #Davido amezindua lebo yake iitwayo ‘Nine+ Records’ akishirikiana na kampuni ya usambazaji wa muziki ya #UnitedMasters. Davido a...
09
Burna Boy afikisha stream bilioni 1.1 Sportify
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #BurnaBoy ameendelea kuupiga mwingi kupitia mtandao wa Sportify na sasa ameripotiwa kufikisha zaidi ya stream bilioni 1.1 kupitia album yake...
31
Aliyekuwa mke wa Mohabad agoma kutoa dna ya mtoto
Aliyekuwa mke wa marehemu #Mohbad, amegoma mtoto wake kupimwa DNA baada ya watu kumshutumu kuwa huwenda mtoto huyo sio wa marehemu Mohbad. Kwa mujibu wa Gossiptv News imeeleza...
28
Mapya yaibuka kesi ya Diddy
Wakati msako wa kumsaka ‘rapa’ Diddy ukiendele nchini Marekani mapya yaibuka ambapo imeripotiwa kuwa ‘rapa’ Yung Miami alihusika  kumbebea Diddy d...
26
Chini ya miaka 16 wapigwa marufuku kujihusisha na mitandao
Gavana wa mji wa Florida, nchini Marekani #RonDeSantis ametia saini mswaada wa sheria ya mitandao ya kijamii nchini humo jana Jumatatu kupiga marufuku watoto walio chini ya um...
18
Posh Queen ampeleka Harmonize kanisani
Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Harmonize na mpenzi wake #PoshyQueeen leo wameelekea Kanisani kwa ajili ya ibada ya Jumapili licha ya kuwa msanii huyo ni muumini wa dini ya...
01
CEO wa Apple alitumia pombe kupata wafanyakazi
Inadaiwa mara nyingi watu huongea ukweli pindi wakiwa na hasira au wamelewa, kutokana na dhana hiyo aliyekuwa mmiliki na muanzilishi wa kampuni ya Apple, Steve Jobs kutoka nch...

Latest Post