Mwanamuziki Rihanna amemjia juu shabiki mmoja aliefahamika kwa jina la ‘Lorenzo Hirmez’ baada ya shabiki huyo kumwambia Riri anakomwe.“Tunahitaji album komwe...
Baada ya mwanamuziki kutoka katika visiwa vya Barbados, Rihanna kushindwa kushiriki katika zoezi la kupiga kura kumchagua rais wa Marekani, sasa ameamua kutimkia katika mji al...
Mtazamo. Wimbo wa Afande Sele, na wale 'Bigi Mani' wenzake kwenye 'gemu'. Solo Thang Ulamaa na Prof. Jay The Heavy Weight Mc. Kilinuka sana humo ndani chini Producer Majani. N...
Waswahili husema kuishi kwingi, kuona mengi, pasi na shaka kauli hii inaendana na maajabu ya mti unaotiririsha maji.
Wengi wamezoea kuona miti ikipandwa, ikikua, ikikauka na m...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, Rihanna kutarajia kupata mtoto wa tatu na mpenzi wake A$AP Rocky, msani...
Wakati wadau mbalimbali wakisubiri kuona muonekano wa mwanamuziki Rihanna katika usiku wa tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika katika ukumbi wa &lsq...
Na Aisha Lungato
Niaje niaje! wasomi, niliwakumbuka sana sasa leo nimerudi tena ndugu yenu nisiye na hiyana kuja kuwapa nondo ambayo itaweza kuwasaidia huko mbeleni mnakoeleke...
Wakazi wa mji wa Soa Lorenco De Bairro wapatwa na sintofahamu baada ya kiwanda cha kutengeneza pombe cha Levira kutiririsha wine barabarani huku wakieleza kuwa tukio hilo lime...
Baada ya show yake aliyofanya nchini Albania na kuonekana kukubalika, mwanamuziki Rayvanny amefunguka kutokana na maneno ya baadhi ya watu wanaodai kuwa #Rayvanny ...
Mwanaume mmoja nchini Kenya, mwenye umri wa miaka 45 aliefahamika kwa jina la John Rugala, amefariki kwa kujiua baada ya Mke wake kuripotiwa kukataa kumpikia kuku akiwa nyumba...
Mwalimu Nkya kutoka shule ya msingi Miririni mkoani Arusha alimpa adhabu mwanafunzi Milcah Zakaria Mbise mwenye umri wa miaka 11 wa darasa la 4 ambayo ilimuumiza mkono.
Tangu ...
Kwa mujibu wa wakala wa ripoti za vyombo vya habari nchini Marekani Nielsen Rating, wameripoti kuwa show ya Rihanna Half Time Super Bowl ndiyo show iliyotazama zaidi kuliko Sh...