Mwanamitindo kutoka Uingereza, Naomi Campbell amepigwa marufuku kuwa mdhamini mkuu wa Shirika la misaada la ‘Fashion For Releaf’ baada ya kugundulika kuwa amekuwa ...
Mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi, anayemiliki bendi ya Bogoss Musica, Nyoshi El Saadat amewashauri wasanii wa Bongo Fleva kujikita zaidi katika kuimba muziki wa mubashara ...
Mfanyabiashara na msanii Joseph Francis, maarufu Mandojo anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano Agosti 14, 2024 saa 10 jioni wilayani Manyoni, Mkoa wa Singida.Kutokana na ratiba ili...
Baada ya kutamba katika remix ya ‘Komasava’ aliyomshirikisha msanii wa Marekani Jason Derulo na kupokelewa kwa ukubwa, sasa mwanamuziki Diamond ameripotiwa kufanya...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ameomba msaada kwa aliyekuwa mke wake #KimKardashian baada ya kutokuwa na maelewana na kampuni ya Adidas.
Imeripotiwa kuwa msani...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya PSG Ashraf Hakimi ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii, kupitia taasisi yake ya ‘A...
Baada ya kutangaza tarehe ya mazishi ya mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, mwenyekiti aliyeteuliwa kusimamia mazishi ya mwigizaji huyo Monday Diamond A. JP (Odoziobodo) ametoa w...
Kama tulivyokubaliana katika makala zetu za nyuma kuwa katika upande wa biashara sasa tumeamua kuwasogeza vijana na wachakarikaji ambao wanaendesha maisha yao kupitia biashara...
Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Uingereza, Tyson Luke Fury ametumia saa ya kifahari iliyotengenezwa na kampuni ya Jacob & Co kutangaza pambano lake na bondia kutoka Ukra...
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Tyla naye amekuwa ni miongoni wa mastaa waliyohudhuria katika usiku wa tamasha la mitindo nchini Marekani liitwalo ‘Met Gala&rsqu...
Maziko ya muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania na filamu maarufu Director Khalfani Khalmandro yatafanyika leo saa 10 alasiri katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es S...
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mnyama wa porini aitwaye koala leo Mei 3, jamii imesisitizwa kuhusu umuhimu wa kulala na utunzaji wa mazingira.Koala ni mnyama wa familia ya ...
Mwanaharakati wa mazingira na mwanafunzi wa misitu kutoka nchini Ghana aitwaye Abubakar Tahiru (29) ameweka rekodi mpya ya dunia kwa kukumbatia miti 1,123, ndani ya saa moja.
...
Saa ya mfukoni ya mfanyabiashara mkubwa aliyefariki dunia katika ajali ya meli ya Titanic, John Jacob Astor imepigwa mnada mara sita zaidi ya bei iliyokuwa ikiuzwa awali na ku...