Mkali wa Hip-Hop kutoka Marekani, Diddy Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya madai ya unyanyasaji wa kingono yanayodaiwa kufanyika mwaka 2000.Kwa mujibu wa hati zilizopatikan...
Mfanyabiashara na mwanamitindo maarufu Marekani amesema sasa ni wakati wake kutimiza ndoto yake ya kuwa mwanasheria.Kim ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram k...
Ikiwa zimetimia siku 11 tangu mkali wa Hip hop Marekani, Sean Combs 'Diddy' ashikiliwe na polisi kwa makosa matatu, mojawapo likiwa la biashara ya ngono, hatimaye mwanasheria ...
Baada ya kuzuka kwa taarifa siku ya jana kuwa mwanamuziki Diddy yupo chini ya uangalizi wa kuzuia kujiua, Mwanasheria wa rapa huyo Marc Agnifilo afunguka kuhusu sakata hilo hu...
Mwamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido amemwalika harusi yake aliyekuwa Rais wa shirikisho la Soka la Nigeria, NFF #AmajuPinnick ingawa walikuwa katika mzozo wa kisheria.
Taa...
Mwanzilishi mwenza wa rekodi lebo ya ‘Death Row Records’ kutoka Marekani Suge Knight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela amedai kuwa mkali wa Hip...
Baada ya ukimya wa wiki kadhaa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar amerudi tena mjini akiwa na ngoma mpya ambayo ameitoa kwa ajili ya kumjibu Drake.
Ngoma...
Baada ya mwanasheria wa familia ya Tupac, Howard King kumpa saa 24 rapa Drake kufuta ngoma ya‘ Taylor Made Freestyle’ aliyotumia AI (akili bandia) kutengenez...
Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini muswada wa sheria ambao endapo utakiukwa mtandao wa TikTok utapigwa marufuku kutumika nchini humo.
Baraza la wawakilishi la Bunge la Ma...
Nyota wa soka duniani #CristianoRonaldo ameshinda kesi ya madai ya mshahara dhidi ya klabu yake ya zamani ya #Juventus.
Klabu hiyo inatakiwa kumlipa CR7 kiasi Sh26.9 bilioni k...
Muigizaji wa filamu kutoka Marekani Arnold Schwarzenegger, ameruhusiwa kupiga mnada saa yake ya gharama nchini Austria, baada ya kutolewa kizuizini katika uwanja wa ndege wa M...
Baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Drake, #DennisGraham,ameruhusiwa kurudi nchini Canada baada ya kumaliza adhabu yake.
Kupitia #Instastory ya ‘rapa’ huyo...