Pande mbili za mahasimu nchini Sudani wamekubaliana kusitisha mashambulizi na kuruhusu watu kutembea ili kuwezesha utoaji na ufikiaji wa misaada ya kibinadamu.
Tangu aprili mw...
Kufatiwa na mapigano yanayo endelea nchini Sudani katika miji mbalimbali siku ya jumatano vyombo vya habari nchini humo viliripoti taarifa ya kifo cha Gavana wa jimbo la Darfu...
Wajeshi nchini Sudan siku ya Jumatano wamevunja makubaliano na vikosi vya nchi hiyo vya RSF na kuongeza muda wa makubaliano ya usimamishaji mpya wa mapigano wakishutumu kukiuk...
Kufatiwa na mapigano huko nchini Sudani wanafunzi 150, watumishi wa ubalozi 28 na diaspora 22 wa Kitanzania wanatarajiwa kuwasili leo Aprili 27 katika uwanja wa ndege wa...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa kati ya watu 10,000 na 20,000 wamekimbia mapigano makali Sudan na kutafuta usalama katika nchi jirani ya Chad.
Shirika la Umoja wa Mataifa l...
Kufatiwa na machafuko kati ya Jeshi na kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) huko nchini Sudani yamekuwa ya kiendelea takribani siku ya 3 mfululizo zaidi ikiwa kat...