Mwanamuziki wa Singeli hapa nchini, Dulla Makabila ameweka wazi kuwa anajutia kumpa talaka aliyekuwa mke wake, Zaiylissa.Makabila amefunguka hayo leo Januari 3, 2025 kwenye ma...
Mwanaume mmoja kutoka Afrika Kusini ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuwasilisha kesi ya talaka mahakamani baada ya mke wake kupiga picha yenye utata na mkali wa R&...
Mwanamuziki Jennifer Lopez na aliyekuwa mumewe Ben Affleck wameendelea kuonekana pamoja licha ya wawili wao kutarajia kupeana talaka.Lopez na Ben walionekana pamoja katika usi...
Mwanamke mmoja kutoka Agra, India ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuomba talaka kwa mumewe ikiwa ni siku 40 tangu wawili hao kufunga ndoa, huku kisa kikiwa ni kuto...
Binti wa mfalme kutoka Dubai Princess Mahra bint Mohammed bin Rashid Al Maktoum, ameripotiwa kuzindua manukato yaitwayo ‘Divorce’ (Talaka) baada ya kuachana na mum...
Usiku wa jana Agosti 1, ‘rapa’ wa Marekani Cardi B kupitia ukurasa wake wa Instagram ali-share picha na kutangaza kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa tatu, jambo ...
Binti wa mtawala wa Dubai, Sheikha Mahra Bint Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, amempa talaka mumewe Sheikh Mana bin Mohammed bin Rashid bin Mana Al Maktoum kupitia mtandao wa I...
Mke wa wa mtangazi wa ‘The Repair Shop’ kutoka nchini Ungereza #JayBlades, #LisaMarieZbozen amepanga kudai talaka haraka baada ya kuona hakuna njia yeyote ya kuend...
Mke wa rapa kutoka Marekani Tory Lanez, Raina Chassagne anadaiwa kudai talaka, ikiwa zimebaki siku chache kutimiza mwaka mmoja katika ndoa yao waliyoifunga mwaka 2023.
Kwa muj...
Mwanamuziki kutoka nchini Brazil Caroline Lyra ambaye pia alikuwa mke wa zamani wa mchezaji Ricardo Kaka, amedai kuwa aliomba talaka kwa mumewe kwa sababu hakuwa akimsaliti wa...
Mwanamke mmoja kutoka nchini #Uturuki aliyejitambulisha kwa jina la #AY ameripotiwa kuomba talaka akidai kuwa mumewe aitwaye #CY hakuwa msafi wa mwili.#AY alifikisha ombi la t...
Baada ya mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani #JasonMomoa, #LisaBonet kuwasilisha ombi la talaka katika mahakama ya California nchini humo siku ya jana hatimaye wawili hao ...
Mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani #JasonMomoa, #LisaBonet ameomba talaka baada ya miaka miwili ya kutangaza kuachana.
Katika miaka miwili hiyo tangu watengane bila...