King Bad, Marioo ametusanua kwamba Video ya wimbo wa ‘Why’ kutoka kwenye album yake ya ‘The Godson’ imeghalimu zaidi ya Sh 56 milioni mpaka kukamilika ...
Albamu ya Marioo 'The God Son' imeshindikana kwenye Chart za muziki nchini. Hii ni baada ya kukaa kwa muda mrefu kama albamu namba moja inayosikilizwa zaidi.Albamu hiyo iliyoa...