Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na wataalamu kutoka Ufaransa Jean-Marie Robine na David Sinclair unaeleza kuwa wanaume wafupi wanaishi maisha marefu kuliko wanaume warefu.Wa...
Akiwa anaendelea na ziara yake kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii mbalimbali, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametoa shukurani zake za dhati kwa wasanii kutoka katika m...
Ulimwenguni zipo kazi mbalimbalia ambazo watu huzifanya bila kujali ugumu wake, kikubwa mkono uende kinywani. Ni ngumi kuelewa raha na karaha ya kazi fulani kama hauifanyi wew...
Baada ya miaka mitano kuachia album ya ‘African Giant’ na kufanya vizuri sasa album hiyo ya mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy imetangazwa kufikia ...
Mwanamuziki wa Hi-hop kutoka nchini Marekani, #LilWayne inadaiwa kukataa muonekano wa sanamu lake ambalo lipo katika makumbusho ya #Wax mjini #Hollywood nchini humo.
Kwa mujib...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Ahly, Anthony Modeste hatokuwa sehemu ya kikosi cha Al Ahly kitakacho ikabili Simba SC katika mchezo wa ufunguzi wa ‘Ligi’ ya...
Mwanasoka nguli kutoka nchini Ufaransa Paul Pogba yupo hatiani kufungiwa kucheza mpira miaka minne kwa kosa linaloelezwa kuwa ni utumiaji wa dawa zilizopigwa marufuku za kusis...
Waziri wa Elimu nchini Ufaransa, Gabriel Attal jana Ijumaa Oktoba 6, 2023, ametangaza kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba ambazo kwa ujumla hupokea wanafunzi 1,500 b...
Wakazi wa Paris nchini Ufaransa wajikuta wakiingia kwenye mapambano dhidi ya kunguni ambao wamekuwa wakienea katika maeneo mbalimbali.
Inaelezwa kuwa mwazo kunguni hao walikuw...
Bondia kutoka nchini Tanzania ambaye pia ni nahodha wa ‘timu’ ya taifa ya ngumi, Yusuf Changalawe amepoteza pambano lake la ‘fainali’ ya kuwania &lsquo...
Mwanamke mmoja adaiwa kufariki dunia na watu wengine 12 wamelazwa kwa matibabu baada ya kula dagaa wenye sumu katika Mgahawa mmoja huko nchini Ufaransa eneo la Bordeaux.
Aidha...
Washindani wa Tuzo ya Ballon d'Or rasmi leo ‘listi’ yao itatoka na mshindi atatangazwa Oktoba 30 jijini Paris, nchini Ufaransa.
Lionel Messi ndiye anayeongoza kuch...