30
The Weeknd Asambaza Mabango Yaliyoandikwa Mwisho Upo Karibu
Mwanamuziki kutoka nchini Canada ambaye makazi yake ni Marekani The Weeknd ameingia kwenye vichwa vya habari mbalimbali baada ya kuripotiwa kulipia mabango katika nchi mbalimb...
10
Adele atangaza kufunga ndoa na Rich Paul
Mwanamuziki Adele ametangaza kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu wakala wa wachezaji Marekani Rich Paul, ndoa inayotarajiwa kufungwa siku zijazo.Adele amelithibitisha hi...
30
Shabiki azua kizaa zaa, Ujerumani ikienda robo finali
Baada ya mchezo wa hatua ya 16 bora wa michuano ya Euro kati ya wenyeji timu Ujerumani dhidi ya Denmark kumalizika, polisi waliokuwa wanalinda uwanja walimshusha shabiki mmoja...
28
Tuchel agoma kushawishiwa na mashabiki kubaki Bayern Munich
Imeripotiwa kuwa kocha wa #BayernMunich, Thomas Tuchel amedai kuwa hatakubali kushawishiwa na ombi la mashabiki kumtaka abakie katika klabu hiyo. Kwa mujibu wa tovuti ya Sky S...
24
Ujerumani yahalalisha uvutaji wa bangi
Siku ya jana, Ijumaa Februari 23, Bunge la Ujerumani liliidhinisha sheria ya kuhalalisha uvutaji wa bangi, ambapo imeruhusu kumiliki kilo 25 katika maeneo ya Umma na kilo 50 n...
21
Kocha Tuchel avunja mkataba na Bayern Munich
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #BayernMunich, #ThomasTuchel amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake, na ‘timu’ hiyo mwezi Juni mwaka huu ambapo...
30
Aliyefanya upasuaji wa matiti, Midomo, na kubadili rangi awe muafrika
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumekuwa na matukio mengi ya kisayansi yafanyikayo ikiwemo baadhi ya watu mkubadiis...
22
Ukitumia ‘WiFi’ ya mtu bila ruhusa, faini tsh 23 milioni, Kifungo miaka mitatu
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani hivi sasa mtu mmoja anaweza kutumia data ya mtu mwingine endapo tu ataungan...
22
Watumbukia kwenye bwawa baada ya jukwaa la sarakasi kuvinjika
Sehemu maarufu ya kivutio nchini Ujerumani ambayo juu  imewekwa  jukwaa la michezo ya waruka sarakasi huku upande wa chini kuna bwawa la maji, imetokea ajali baada y...
27
Ujerumani madereva watia mgomo
Mamilioni ya wasafiri leo Machi 27, 2023 wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri kutokana na mgomo katika Sekta ya Uchukuzi inayotarajiwa kudumu kwa saa 24. Mgomo huo u...
06
Poland yataka kulipwa fidia na Ujerumani kutokana na uharibifu uliotokea katika vita ya pili vya dunia
Serikali ya Poland inataka kuongeza shinikizo dhidi ya Ujerumani kuhusu suala la kulipwa fidia ya vita vya pili vya dunia. Kwa muj...
23
Vikosi vya ulinzi vya ujerumani vyaondolewa nchini mali
Maamuzi hayo yanatarajiwa kutekelezwa kuanzia katikati ya Mwaka 2023 na mchakato utaendelea hadi utakapokamilika Mwaka 2024 Ujerumani ina Wanajeshi 1,000 Nchini Mali, wengi w...
27
Ujerumani yahalalisha matumizi ya bangi
Ujerumani imefungua njia ya kuelekea kuhalalisha ununuzi na umiliki wa kiasi kidogo cha bangi kwa ajili ya starehe. Watu wataruhusiwa kununua kiasi kisichozidi "gramu 20 na 30...

Latest Post