Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.
Mchezaji huyu b...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuna (Mwana FA) amesema kuwa bado hakuna msanii wa miondoko ya Hip Hop aliyeweza kuchukua nafasi yake kwenye uandishi wa...
Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwijuma maarufu kama #MwanaFA amewataka mashabiki wa ‘timu’ za mpira wa miguu kuacha kushangilia mabao tu kwani in...
Wanamuziki wanawaza chapaa, mkwanja, faranga, njuruku, mapene, mawe, ukwasi, fuba na maneno yote yanayomaanisha pesa, fedha au shilingi. Wanavuja jasho kwenye kila kitu kinach...
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Afrika Kuzini Bulelwa Mkutukana anaye julikana kama Zahara (35) aliyetamba kupitia wimbo wake wa ‘Loliwe’ amefariki dunia,
Taarif...
Ikiwa imepita wiki moja tangu wasanii Mbosso, Billnass na Whozu kufungiwa kujihusisha na kazi za muziki, kutokana na video ya Whozu ‘Ameyatimba’ kuwa na maudhui ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayotumika kuwasafirisha wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa (Taifa Stars) kwenda Nchini Morocco ambapo watacheza na ‘timu&...
Staa wa Bongo Flava, Hamornize leo Agosti 27 atatoa burudani kwenye kilele cha tamasha la pili la Utamaduni la Kitaifa linalofanyika katika Stendi ya zamani iliyopo Njombe Mji...
Wakati baadhi ya wanawake wakitumia mbinu mbalimbali ili kupendezesha midomo yao, huku wapo wale wa kupaka vitu kama vile lips ticks na kufanya upasuaji wa midomo.
Wafahamu wa...
Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar Dkt. Omar amesema Askari wake wameanza kukamata Wanaume wote wanaosuka nywele kama za Wasichana wakiwa Z...
Enhee!! Nakusalimia kwa jina la fashion, fashion ziendelee kama kawaida ni weekend nyengine tunakutana tena hapa hapa kwaajili ya kukudadavulia yale yote yanayo happen katika ...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwanafa amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali itahakikisha kuwa inapaza sauti kuh...