09
Haya Ndio Mafanikio Album Ya Dizasta Ndani Ya Mwaka Mmoja
Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
10
Chid Benz ahoji wasanii wanaoimba majina ya wachezaji, amtaja Harmonize
Msanii wa muziki wa Hiphop nchini Rashid Makwiro maarufu 'Chid Benz', amehoji kuhusiana na baadhi ya wasanii kuimba nyimbo zenye k...
02
Kocha wa Mamelodi achukia kuingiliwa majukumu yake
Kocha wa Mamelodi Sundowns F.C., Rulani Mokwena achukizwa kuingiliwa kwenye majukumu yake baada ya mkurugenzi wa klabu hiyo #FlemmingBerg kuwaondoa wachezaji wanne ambao bado ...
07
Messi aongoza wachezaji wanaomiliki ndinga ya gharama
Ikiwa zimepita siku chache tangu tovuti mbalimbali kuorodhesha wanasoka wanaolipwa zaidi huku CR 7 akiongoza orodha hiyo na sasa umewekwa mkeka wa nyota wa michezo ambao wanam...
04
Wachezaji walivyoingia na mama zao uwanjani
Moja ya tukio lililowafurahisha na kuwavutia mashabiki wengi ni baada ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #GetafeFC kutoka nchini Uhispania kuingia uwanjani na wazazi wao w...
02
Liverpool yazindua uzi wa mwaka 1984
Liverpool imezidua jezi mpya kwa ajili ya msimu ujao 2024-25, huku mashabiki wakiifananisha na ya mwaka 1984 kutokana na muundo wake. Liverpool inajiandaa na maisha  bila...
29
Hersi: Usipokuwa na uelewa utasajili hovyo, Utatimua wachezaji kwa hisia
Rais wa Klabu ya #Yanga #HersiSaid amesema wakati wa usajili kama muhusika asipokuwa na uelewa kuhusu wachezaji anaweza kumsajili ...
24
Ten Hag na wachezaji wake wapigwa rungu
Kocha wa klabu ya #ManchesterUnited, Erik ten Hag na wachezaji wake watalazimika kupunguzwa mishahara kama watashindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kwa mujibu wa The Sun...
17
Wachezaji na shauku ya kujua hatma ya Ten Hag
Imeripotiwa kuwa baadhi ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited bado hawajafanya maamuzi ya kusaini mikataba mipya ‘klabuni’ hapo wakisubiri kujua...
16
Wachezaji ndiyo wamezomewa Bandarini Dar es salaam
Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufanyika kwa pambano la Dabi ya Kariakoo, leo kikosi cha Simba kimeanza safari kwenda Zanzibar huku kikizomewa na mashabiki wa Yanga. Baada...
13
Chelsea kuuza wachezaji ili kumsajili Osimhen
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya Chelsea ina mpango wa kupiga bei mastaa wake kadhaa ili kupata Euro 200 milioni ambazo itazitumia kwenye usajili wa ‘straika&rsqu...
11
Wachezaji 62 wafungiwa kwa kudanganya umri
Shirikisho la ‘soka’ nchini Cameroon limewafungia wachezaji 62 kujihusisha na michezo baada ya kudanganya umri akiwemo mchezaji wa ‘klabu’ ya Victoria ...
05
Awapa mapacha wake majina wa wachezaji wa Arsenal
Mwanamke mmoja kutoka nchini Kenya aitwaye Epakan Ekaale, amewapa watoto wake mapacha watatu majina ya nyota watatu wa mpira wa miguu wanaokipiga Ligi kuu England katika &lsqu...
18
Cr7 achukizwa na mtoto wake kukataa kusalimia wachezaji
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr, #CristianoRonaldo alikasirika baada ya mwanaye, Cristiano Ronaldo Junior, kukataa kusalimiana na wachezaji wengine wa ‘klabu...

Latest Post