10
Breezy Ataka Wafungwa Waliosaidia Kuzima Moto, Wapunguziwe Vifungo
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown ameonesha kujitoa tangu kuzuka kwa moto katika milima ya Hollywood na sasa ametoa wito kwa serikali kuwapunguzia adhabu wafungwa takrib...
16
Meek Mill: Wafungwa wanafanya kazi nyingi lakini wanalipwa kidogo
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #MeekMill amefunguka kuwa kazi za wafungwa wakiwa gerezani huwa ni nyingi sana kuliko malipo wanayopata nchini humo. ‘Rapa’ huyo...
20
Waachiwa huru kupunguza msongamano gerezani
Wafungwa 4068 walioshindwa kulipa faini mbalimbali wameachiwa huru nchini #Nigeria katika mpango wa kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani nchini humo. Waziri wa Mambo ya...
28
Wafungwa 100 waachiwa huru, Sudan
Kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) la nchini Sudan limetangaza kuwaachia huru wafungwa 100 wa vita ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji. Kund...
26
Rais Samia awasamehe wafungwa zaidi ya 300
Rais wa Jmuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo April, 26 ametoa msamaha kwa wafungwa 376 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanzan...
11
Ukraine na Urusi kubadilishana wafungwa
Rais kutoka nchini Ukraine, Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi. Makubaliano hayo yamefaniki...
05
Mkahawa ambapo mauaji ya AKA yalipotokea wafungwa mazima
Mgahawa maarufu wa Wish unaopatikana huko Durban katika barabara ya Florida, nchini Afrika kusini umetangazwa kufungwa moja kwa moja Jumatatu ya April 10, 2023. Haya yan...
17
Myanmar kuwaachia huru wafungwa 6,000 wakiwemo raia wa kigeni
  Utawala wa kijeshi wa Myanmar umetangaza kuwa leo, utawaachia huru wafungwa wapatao 6,000 akiwemo balozi wa zamani wa Uingereza, mwandishi wa habari wa China na mshauri...
02
Nchi 50 zaihimiza China kuwaachia huru wafungwa
Nchi 50 za Magharibi zimehimiza China kuwaachia huru wafungwa wa jamii ya Waighur na kutekeleza kikamilifu mapendekezo yote katika ripoti ya Umoja wa Mataifa inayoituhumu kwa ...
07
Wafungwa 600 watoroka Gerezani
Maafisa wa magereza nchini Nigeria wanasema watu wenye silaha walishambulia jela moja katika mji mkuu Jumanne usiku na kupelekea wafungwa 600 kutoroka. Gereza hilo linawashiki...

Latest Post