14
Mirabaha Ya Wasanii Kuongezeka Maradufu
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
20
Sanaa ya upishi kukuza utamaduni, Waziri Pindi Chana agusia utalii
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
18
Waziri Mkuu aagiza Niffer akamatwe kwa kuchangisha michango,janga la Kariakoo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza mwanamitandao na mfanyabiashara Jenifer Jovin 'Niffer' akamatwa na jeshi la polisi kwa kukusa...
06
Mawaziri kulinogesha tamasha la Faraja Ya Tasnia
Mawaziri watano sambamba na Mshauri wa Rais, Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa wanatarajiwa kushiriki Tamasha la Faraja y...
25
Mwana FA atamba hakuna msanii wa hip-hop anayemzidi kuandika
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuna (Mwana FA) amesema kuwa bado hakuna msanii wa miondoko ya Hip Hop aliyeweza kuchukua nafasi yake kwenye uandishi wa...
23
Waziri Nchemba kama Pacome
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameachia picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na breach kichwani akijiandaa na ‘Pacome Day’ mchezo unaotarajiwa kuchezwa s...
11
Harmonize asitisha show, Amuomboleza Lowassa
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize amesitisha show kwaajili ya kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa. Kupitia #Instastor yake...
08
Internet yazimwa kwa muda Pakistan
Huduma za Internet nchini Pakistan zimezuiwa kwa muda kuhofia ugaidi wakati wa zoezi la uchaguzi linaloendelea leo nchini humo kufuatiwa na upinzani mkubwa wa vyama viwili vya...
17
Benzema amfungulia mashitaka waziri Darmanin
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad kutoka nchini Saudi Arabia, Karim Benzema amemfungulia mashitaka Waziri wa Mambo ya Ndani Ufaransa Gerald Darmanin kwa kumchafuli...
12
Mwanamuziki Zahara afariki dunia
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Afrika Kuzini Bulelwa Mkutukana anaye julikana kama Zahara (35) aliyetamba kupitia wimbo wake wa ‘Loliwe’ amefariki dunia, Taarif...
04
Mwana FA: Kung’oa viti uwanjani ni uhuni kama uhuni mwingine
Naibu Waziri, Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa kung’oa viti uwanjani ni uhuni kama uhuni mwingine na wanaofanya uharibifu huo watach...
20
Waachiwa huru kupunguza msongamano gerezani
Wafungwa 4068 walioshindwa kulipa faini mbalimbali wameachiwa huru nchini #Nigeria katika mpango wa kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani nchini humo. Waziri wa Mambo ya...
15
Marufuku kutumia TikTok
Serikali ya Nepal imepiga marufuku matumizi ya mtandao wa kijamii wa TikTok kutokana na tuhuma za kuwa inavuruga maelewano ya kijamii huku zaidi ya kesi 1,600 za uhalifu wa mi...
14
Mbosso, Whozu na Nenga walegezewa kamba
Ikiwa imepita wiki moja tangu wasanii Mbosso, Billnass na Whozu kufungiwa kujihusisha na kazi za muziki, kutokana na video ya Whozu ‘Ameyatimba’ kuwa na maudhui ya...

Latest Post