Kheri ya mwaka mpya!Ni mwanzo wa mwaka 2025, walioajiriwa na wafanyakazi wa sehemu mbalimbali wanarudi kazini baada ya mapumziko ya sikuku za mwisho wa mwaka. Zingatia mambo h...
Katika mazingira ya kazi, kuna vitu vingi vinavyoweza kujadiliwa kwa uwazi kati ya wafanyakazi, lakini pia kuna mambo ambayo ni bora kubaki siri. Kuweka mipaka katika masuala ...
Na Asha Charles
Kawaida fashion hubebwa na muoneano, kuanzia juu mpaka chini yaani mavazi, nywele, viatu na hata harufu ya muhusika. Wapo ambao hujikuta wakiharibu muonekano w...
Wajasiliamali oyee! Leo niko na ka-vibe fulani hivii ka kuwapa mada ambazo zitakufanya upate maokoto kwa wepesi kwako wewe mfanyabiashara mwenzangu, unataka kujua unapataje ma...
Kila binadamu ana siri zake ambazo hapendi watu wengine wazifahamu, lakini kumekuwa na baadhi ya watu waliogeuka kero kwenye usafiri wa umma (daladala) kwa kuwa na tabia ya ku...
Kumekuwa na tabia baadhi ya watu wanakwepa kutoa taarifa zao sahihi pindi waendapo kupumzika kwenye nyumba za kulala wageni (Guest House), tena wapo ambao kudanganya taarifa z...
Watu wengi wamekuwa wakipata changamoto ya kutokumbuka passward (nywila) zao za mitandao ya kijamii au application mbalimbali wanazotumia, wengi changamoto hiyo huwasababishia...
Ooooooh! niaje wanangu sana natumai ni wazima wa afya naona ni furahi day nyingine tena tunakusogezea jarida letu pendwa kabisa, basi bwana leo kwenye kipengele chetu cha fash...
Aliyekuwa msemaji wa 'timu' ya #Yanga #HajiManara anaendelea kuwakera watu akiwa katika maeneo mbalimbali nchini marekani akila bata.
Wakati wa muendelezo wa kula bata a...
Mwanamuziki #BarnabaClassic anawakumbusha watu kuto kwamishwa na maneno wanapotaka kufikia malengo yao , Barnaba amedai kuwa ukifanyiwa ubaya usalalamike angalia mbadala na na...
Mambo niaje!! My beautifuly people nikukaribishe tena kama kawaida yetu kila weekend lazima tuwe na jambo jipya katika fashion, team Scoop tunakwambia fashion ni usafii mwanet...
Na Asha Charles Hellow niaje watu wangu wa nguvu!!! I hope mko salamaa kama unavyo jua mchaka mchaka wakulisongesha jambo la fashion bado unaendelea yaani siwezi kuliacha nish...